Maisha yana rangi za kupendeza na kuogopesha sana

Tatizo la wabongo wanashindwa kutofautisha utajiri na maisha bora. Utakuta mtu kakamata chenji milion 50 lakini hizo fujo kitaa.
 
Maisha yanabadilika muda wowote
 
Hii mbona kama Code kwa Sabaya ? Au niweza juu ya box (sio nje)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…