Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

Hata supa nyamwela nae yupo hiyo bendi ya kamanyola ya mwanza wamechoka balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyamwela yupo twanga
 
Msafiri Diof aliLost kitambo kabla ya hata mziki wa dansi baada ya kuanza kutumia ngada.wawezeshaji wa mziki wa dansi kina papa Msofe,Said Ntimizi,Abdul Karim,Fikiri Madinda,Juma Kapuya.nk baada ya kupotea na mziki ukapotea!
Msafiri umemuona karibuni jackal ameshaachana na mambo ngada mda limenenepa sana bado yupo twanga
 
aisha alikutana na fikiri madinda stegini ,ivyo ikawa ngumu kumwachisha, pia fikiri alikuwa peneshee kumzibiti mcheza show ni rahisi

note:FIKIRI naye ni marehemu ,pia aisha hakuwa na mtoto
Khaaaa Aisha kaacha watoto wawili wa kike na wakiume mkuu na fikiri sidhani kama amefariki
 
😲😲
 
aysee juzi jmos nlikuwa pale villa park kirumba sikuamini kuwa Ali ndo anaimba live band akiwa kwny muonekano ule,jamaa kachoka saanaa mkuu
Kachoka au kazeek..?? Nimeanza kumsikia Ali Choki miaka zaidi ya 21 iliyopita...

~~Kitakachokupa ushindi ni juhudi zako~~
 
Najiuliza wale wanamuziki wa Congo wa miaka ya 90 waliwezaje maana wao asilimia kubwa ni matajiri na wengi wao wanaishi Ulaya sisi huku Bongo sijui tunakwama wapi
Wako france wana mji wao m manzese na belgium basi vibaka tu waomba bia,kanda bongo man yupo zake manchester anasafisha weipa ukijaza mafuta petrol station anafanya kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…