Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

Mafahari wawili hawawezi ishi zizi moja. Si wakumbuka walianzishaga bendi choki,banza na muumini ila ilisambaratika vibaya mno
na ilisambaratika baada ya muda mfupi sana. nilishangaa kweli kwa wakongwe kama wale kushindwa kuelewana kiasi kile. nafikiri ndo hivyo kila mmoja alitaka kuwa juu ya wenzie
 
Muongo, interview moja ya Charz baba anasema alikuwa akipata hela ya kutunzwa mpaka laki 3 kwa onyesho moja

Sent using Jamii Forums mobile app

na wakati ule laki 3 ni kubwa sana mkuu, basi ndio tabia yetu wabongo tukipata pesa tukatumia vibaya, badae tunazikana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mapedeshee wengi waliokuwa wanaziwezisha hizi bendi wamepigwa pini na huu utawala wa jpm.unaweza kuhusisha na kufulia kwa wanamziki hawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Dooh
 
wameyachezea maisha walipokua juu kimafanikio
Deo mwanambilimbi ni muanzilishi wa Twanga pepeta,lakini kwa sasa ana bendi yake na analima,anapata ugali wake vizuri tu
 
amtumikiae shetani huchakaa mwishowe.
bali amtumikiae Mungu huhuishwa roho na mwili kila iitwapo leo!

Sio kweli hakuna uhusiano, hata waimba kwaya wanachakaa hata mapadri wangechakaa pia bila sadaka za watu ishu ni kuwekeza kinachopatikana kuna viongozi wengi tu mafisadi na wanakufa na mali so acha kujipa moyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu atupiganie tuzeeke tukiwa tumejipanga vyema, tusisumbue watoto na wajukuu.
 
amtumikiae shetani huchakaa mwishowe.
bali amtumikiae Mungu huhuishwa roho na mwili kila iitwapo leo!
Wakati mwingine shetani tunamsingizia sana, upate pesa usijiwekee msingi mzuri ule bata mpaka shilingi ya mwisho ukichoka umsingizie shetani hapana! Kuna wakati hata yeye huwa anatushangaa wanadamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…