Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

mara ya kwanza kuisoma hii comment nilidhani kuwa ni utani flani hivi......lakini hapa juzi kati nilimuona kwenye chombo flani cha habari wakati wa habari za michezo akihojiwa kuhusu Yanga na GSM. Mh, aina na namna ya maneno yake aliyokuwa akiongea, facial expression na muonekano wake kwa ujumla inawezekana kuna kaukweli ktk ulichosema
 
Hata wewe ipo siku utachoka, utachakaa na kwisha kabisa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe ipo siku utachoka, utachakaa na kwisha kabisa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli na hata sisemi haya kwa lengo la kukashfu au la hapana.....na isitoshe hapa nilipo nimechoka hoi na hata sijawahi kuwa na maisha! ni lengo ni kujaribu kujifunza na kuondokana na jeuri za ujana ambazo wengi wanazo, hawaangalii kesho yao!
 
Wakikaa chini, enzo itarudi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Nilipokuwa mdogo Muumini Mimi, nilikuwa sielewi nini maana ya mapenzi, nilikuwa nikisikia wakubwa wakisimuliana eti mapenzi yanaua niliogopa sana...........' Jamaa alitesa na tuwimbo vyake balaa, ila alijisahau kuwekeza kidogo alichopata! Lipo la kujifunza hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui huko Uingereza anampiga nani mizinga,maana hapa bongo kuna wakati alikuwa anatembea na mwanaw akiomba pesa kwenye mabaa tofauti yake na marehemu Matonya ni kuwa Matonya alikuwa akiomba amelala juani huku akicharazwa na jua wakati Diouf yeye alikuwa anazurura kutoka bar moja hadi nyingine na kujitambulisha mimi Msafiri Diouf ila du jamaa ni bonge la rapper kwa muziki wa kibongo hakunaga
 
Niamini mzee baba,jamaa kachoka kweli ndio maana katoa wimbo wake mpya "NIMEFULIA" sio uongo amefulia kweli ila jamaa mwili wake upo safi yupo vile vile kama miaka 16 iliyopita.
 
Nilisikitika kuwaona ngwasuma pale kwetu pazuri tbt wanapiga muziki alafu hakuna anaesikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…