Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,458
- 1,887
Alishaacha uteja sasa na kaacha kuomba hovyoSijui huko Uingereza anampiga nani mizinga,maana hapa bongo kuna wakati alikuwa anatembea na mwanaw akiomba pesa kwenye mabaa tofauti yake na marehemu Matonya ni kuwa Matonya alikuwa akiomba amelala juani huku akicharazwa na jua wakati Diouf yeye alikuwa anazurura kutoka bar moja hadi nyingine na kujitambulisha mimi Msafiri Diouf ila du jamaa ni bonge la rapper kwa muziki wa kibongo hakunaga
a.k.a chibongeAlishaacha uteja sasa na kaacha kuomba hovyo
Uteja unadhalilisha sana
Hlf kawa mnene
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu [emoji122]hii comment ilipaswa kusomwa na kila kijana mwenye miaka kuanzia 25 mpaka 45 .....tusipojipanga mapema lazima tutaadhirika huko mbeleni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dansi zama zake zishaisha.
Daah,jamaa wakamtoa au wakampiga kidochi?Nakumbuka siku moja pale Mango Garden vijana kabla haijavunjwa walikuwepo Malaika Band chini ya Mzee wa Masauti wanaburudisha alikuja Msafiri Diouf kupiga mzinga wa buku 2 huku akijitambulisha mie ndio Msafiri Diouf naomba niwezeshe buku 2 angalua niweze kula.
Dah haya maisha noma sana.
Tatizo wasanii wanafanya starehe sana bila kujua future yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dansi zama zake zishaisha.
kiukweli redio zimegoma kabisa kupiga hizo nyimboDansi bado ina pendwa ina audience yake tatizo haipewi airplay radioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora alipoenda mwanza huko kuna waungwana usiombe kuishiwa fedha ukiwa Dar, unaweza ukazani unanuka kikwapa, kila MTU akikuona kwa mbali utapishana naye mlangoni yule rafiki yako anakwambia narudi sasa hivi. Jamani choki aliwika , nilibet naye demu akanishinda, enzi hizo kuna internet cafe pale Vijana demu alikuwa msaidiz pale.Huyu legendary nilikutana nae Mwanza aisee,kachoka yaani yupo tuu.... Mimi kama mmoja wa wahenga nasikitika sana kumuona vile aisee.... huwa anapiga show Villa park pale.
Ama kweli wakati ni ukuta
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nilisikitika kuwaona ngwasuma pale kwetu pazuri tbt wanapiga muziki alafu hakuna anaesikiliza.
Mshukuru mungu sana huyo jamaa ni greed ya taifaBora alipoenda mwanza huko kuna waungwana usiombe kuishiwa fedha ukiwa Dar, unaweza ukazani unanuka kikwapa, kila MTU akikuona kwa mbali utapishana naye mlangoni yule rafiki yako anakwambia narudi sasa hivi. Jamani choki aliwika , nilibet naye demu akanishinda, enzi hizo kuna internet cafe pale Vijana demu alikuwa msaidiz pale.
kiukweli redio zimegoma kabisa kupiga hizo nyimbo
Kabla ya Corona, Kila Alhamis wanakuwa pale Kisuma Bar Mwembe Yanga, Ijumaa wanakuwa Dar Safari Buza, na Jumapili wanakuwa Temeke Mwisho.Jamani anayejua wapi msondo wanapiga siku hizi? Wanamuziki wake ni kina nani kwa sasa?
Nashukuru sana mkuu. Asante. Safu ya wanamuziki unaweza kuijua angalau baadhi? Kuna wakongwe gani ambao bado wako kwenye game?Kabla ya Corona, Kila Alhamis wanakuwa pale Kisuma Bar Mwembe Yanga, Ijumaa wanakuwa Dar Safari Buza, na Jumapili wanakuwa Temeke Mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dansi bado ina pendwa ina audience yake tatizo haipewi airplay radioni.
Kabla ya Corona, Kila Alhamis wanakuwa pale Kisuma Bar Mwembe Yanga, Ijumaa wanakuwa Dar Safari Buza, na Jumapili wanakuwa Temeke Mwisho.