Tatizo sisi vijana tuna kasumba 1
Tukishaanza maisha...!!tukishapata uhakika angalau kidogo wa maisha...wengine ht wakipata chance tya kiwanja.....Mwanamke huingia
Na hapo ndo malengo yanpoharibika na.mipangilio ya maisha inapobadilika
Kama kiwanja utauza....!!km akiba itatumika tofauti na malengo...!!
Mwanamke huja kama jaribu kwa kijana anapoanza maisha...kama ukiweza kulipita jaribu hilo...hutaanguka kiuchumi wala kimaisha
Kuwa na mwanamke...oa mwanamke...lakn kwanza hakikisha umetimiza malengo yako...!!
Neno langu sio sheria
Mtu kapata kazi tu mwezi wa kwanza wa pili kaoa!Tatizo sisi vijana tuna kasumba 1
Tukishaanza maisha...!!tukishapata uhakika angalau kidogo wa maisha...wengine ht wakipata chance tya kiwanja.....Mwanamke huingia
Na hapo ndo malengo yanpoharibika na.mipangilio ya maisha inapobadilika
Kama kiwanja utauza....!!km akiba itatumika tofauti na malengo...!!
Mwanamke huja kama jaribu kwa kijana anapoanza maisha...kama ukiweza kulipita jaribu hilo...hutaanguka kiuchumi wala kimaisha
Kuwa na mwanamke...oa mwanamke...lakn kwanza hakikisha umetimiza malengo yako...!!
Neno langu sio sheria
Mtu kapata kazi tu mwezi wa kwanza wa pili kaoa!
Halafu wananusa haooooo yaani ukizipata tu hawa hapa sijui wanajuaje washenzi hawa!Yan hua sijui nini kinatukumba...na ukishaanza maisha...inabidi udate kwa akili saaana...!!mimi nna wajomba wa4.....wote maisha yaliwakalia vizuri....wkaanunua mpk viwanja...!!akaingia mwanamke
Mmoja aktegeshewa mimba
Mwngne akachunwa pesa kisha akakimbiwa
Mwingine akajitoa saana kwa mwanamke kifedha akafukuzwa kazi na dem akamkana
Wa mwisho kategeshewa mimba na wazaz wamecharuka hawamuelew anaambiwa achange dini
Yan Hapo ndo nlpojifunza kuwa makini na kiumbe aitwaye mwanamke
Nikijihic naanza tamaa tu...nawakumbuka wajomba kisha napotezea