Maisha yanaenda kasi sana jamani

Kula like....kosa kubwa tunalolifanya binadamu ni kujilinganisha na Mtu hapo binafsi naona NI kujitafutia mgogoro mkubwa wa nafsi......naamini katika kupigika kwnza hafu jua la jioni Ndo nyota ianze kung'@a ukipata ela kijana either ufe mapema,utakuja kufilisik(mgogoro wa nafsi mwengine mkubwa sana huu) au uwe mshirikina mzuri Tyu........

Point vijana wawe wavumilivu mafanikio sio Pesa kwan hata Mungu anasema tusisumbukie maisha tuutafute KWANZA ufalme wake hayo mengine yatazdishwa Kama sio kuongezwa kumbuka Kuna Watu wamework hard zaid ya hayo uliyosema lkn hawatoboi abadani
 
Wanawake tunawalaumu Bure.
Kama umeshindwa kujipanga vizuri ni wewe mwenyewe.
Kama huna hela kwanini utafute mwanamke?
una hela za mawazo alafu unataka uwe na mke ni wazi maisha yatakushinda.
Kama una hela mfungulie mwanamke wako biashara.
Kama maisha yako mwenyewe yanakushinda
Utalaumu wanawake bure.
JIPANGE
Halafu wananusa haooooo yaani ukizipata tu hawa hapa sijui wanajuaje washenzi hawa!
 


Hata mm nashangaa..wanaeake tubabebeshwa misalaba isyo yetu hivi una hela ya mawazo ya kutafta mwanamke wa nn?nyie hamko serious kbs na maisha..thts y hamuelewk nn mnataka!mie mapenzi sio kipaumbele kbs..anywys labda me ke!
 
Ushauri mzuri sana umetema madini tupu
 


Bonge moja la ushaurii..! Mambo ya msingi sana haya uliyoongea na inaonekana unaongea kutokana na uzoefu sio mambo ya kuokoteza na yasiyo na uhalisia.
Mimi hua naamini kwamba chochote unachofanya ukikifanya kwa moyo na ukatumia akili yako vizuri na ukawa tayari kujifunza na kubadilika, utafanikiwa. Cha maana ni kujitambua kwamba wewe uko vizuri katika eneo gani? Watu wengi tunajikuta tunafeli maisha pengine kwasababu tunajaribu kufanya vitu ambavyo haviko damuni au hatuna ujuzi navyo wa kutosha.
 


😅😅naona ile 200k bado inakusunbua..am matured enuf sinaga ht muda wa kuandika fake fake !sema nimejua wengi ni matomaso!anywys!
 
Uko wapi kishughuli
 
😅😅naona ile 200k bado inakusunbua..am matured enuf sinaga ht muda wa kuandika fake fake !sema nimejua wengi ni matomaso!anywys!
Hahahaaa..😂😂 ile 200k nimeielewa sana. Unajua tatizo kuna watu humu hua wanaongea tuu ila ukiwasikiliza kwa makini unagundua wanachoongea ni nadharia na hakina uhalisia wowote. Mfano mimi kwenye business ni hewa kabisa. Kwa kipindi cha miaka karibu 10 iliyopita nimeshajaribu kila aina ya biashara na zote zilikufa kifo cha mende..! Ila, kwa kujaribu huko na kufeli nimejifunza mambo ya maana sana kiasi kwamba leo hii huwezi kunidanganya chochote kuhusu biashara. Na pia nikajifunza kwamba kufanikiwa kimaisha sio lazima uwe mfanyabiashara. Chochote utakachoamua kufanya, na ukakifanya kwa akili, moyo na uwezo wako Mungu aliokujalia, mwanga lazima utaonekana. Ni kweli, unaweza usiwe milionea lakini utaishi maisha yako mazuri tu yenye furaha na amani.
 
manengelo we mwanamke ukiwa na mabwana si ndio watakusaidia pesa ndogo ndogo?? kuna wenzio wamejenga nyumba/ wana magari kwa kudanga,
 



Sasa km mtu ana biashara nyingi kuanzia 2ww ni nan usiamini kuwa anapata 200@k??😅!nimekuelewa!lakini kuna age zs kufake maisha...!unadanganya ili iwaje haha..!nyie ndo mnatupa ngv za kusonga sana aisee
 
mi siamini kama kuoa kuna rudisha nyuma maendeleo, ukiwa mwenyewe unakula mgahawani asubuh, mchana , jioni, hiyo ela ya kula mgahawan ukimuachia mkeo apike nyumban mnakula wawili bila shida, labda uoe mwanamke mpenda anasa
 
Yaan tena co kidogo...wanawake wamepewa kipaji cha kumjua mwenye pesa na kapuku

Kisha research hmalizia geto...akishaona kuna space na uhakika wa yeye kuishi....umekwishaa..!!

Baada ya wiki utaambiwa Mimba...wazaz watakugongea...kisha utaoa....ndan ya mwezi tu life yako itabadilika
Halafu wananusa haooooo yaani ukizipata tu hawa hapa sijui wanajuaje washenzi hawa!
 


Mnakosea kitu kimoja..!tafuta mwanamke aliyemature ..kuna mwanamkr unaishi naye anakufanyabutafte zaidi...ww unatafta mwanamke club??tafuta mwanamkr mwenye mwamko km wako..!yaan ht iweje ukianguka atakunyanyua na ww...!mnapenda wenyewe !
 
Manginilo [emoji23] aka Hustle
 
[emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…