Maisha yanaenda kasi sana jamani

mi siamini kama kuoa kuna rudisha nyuma maendeleo, ukiwa mwenyewe unakula mgahawani asubuh, mchana , jioni, hiyo ela ya kula mgahawan ukimuachia mkeo apike nyumban mnakula wawili bila shida, labda uoe mwanamke mpenda anasa
Mimi ninauwezo wa kutumia 100,000/= kwenye mshahara wa 500,000/= kwa mwezi ila nikioa ni tofauti kabisa kufanyayhivyo maana iyo pesa itakuwa sio yangu pekeangu tena.
 
Mkuu nitawezaje kuondoka mkoa mwengine nakati iyo pesa ya nauri pungufu nitafikia wapi na nitaanza ishije.
Mnakosea kitu kimoja..!tafuta mwanamke aliyemature ..kuna mwanamkr unaishi naye anakufanyabutafte zaidi...ww unatafta mwanamke club??tafuta mwanamkr mwenye mwamko km wako..!yaan ht iweje ukianguka atakunyanyua na ww...!mnapenda wenyewe !
 
Hapa kwenye wanawake blaza umenena 100℅,nikipata tu vijicent kidgo,huwez amini ata ma ex wa 2008 wananitafuta,sijui wanaambiana maana wanakujaga kwa pamoja[emoji29]Kweli Mungu atusaidie
Mkuu[emoji1427]
 
Hustler [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Upo vizuri mdada
 
...............Naweza nikajitolea ku-share idea but kama ulivyosema tatizo ni mtaji muhimu tuombeane kwa Mungu tuzidi kuwa hai siku ukijaaliwa uwezo Jamii Forum ipo utarudi hapa tujue jinsi ya kufanya na hii itawezekana kama na sisi bado tutakuwa kwenye game.

Ila vyovyote ilivyo hali ni mbaya sana mtaani tusiache kusali na kufanya kazi kwa bidii.
 
Hizi mambo eti
hata km mambo hayajakaa poa oa tuu sbb mpo wawili mtasaidiana mm sijawahi zielewaa.....
Cha msingi usisahau Umri
kuo wakati huna pesa wala ramani
Hii ni kubeti, na mm siwezi beti huku naona wazi wazi(najua kuoa nako ni sehem ya kubeti)...
Waweza uwin kweli kweli...
Ila ikitokea turnup
alooooo utaona rangi zote za upinde wa mvuaaa......
Wanasema ukipada mwanamke kipnd cha njaa pengne huyo ndio wa kushikilia...
Ila kumpata kwenye njaa na kumfanya aishi kwenye njaa hayo ni mambo mawili tofauti....
Ukiwa na njaa kua tu mpolee..
Usitumie nguvu, ngoja afuate chambo mwenyewe.....

Ila option namba mbili ni ku fake it till you make it....
Maana kuna mda unakua under pressure ya kufanya maendeleo ya kweli sbb ya hofu ya aibu siku ukigundulika huna kitu.

Piga ua usikubali kuish mpk kufa ww n wakulalama tuuu
 
Tatzo co kujichanganya....tatzo wanawake vchwa vbov ndo wengi waliopo...na wanajua kuigiza co kidogo....so mpk kuja kumjua tyr ushamuweka ndan

Hakuna mtu anayeweza kujifanya mjinga ili tu apate anachokitaka km mwanamke

Na ndo ndoa nyingi zilizopo sasa...mke unamuona very kind....unaanza kujua manyanga cku ya harusi...mpk unashangaa mama chanja hizi kwaito na viduku kavijulia hapa ukumbin au
Mnakosea kitu kimoja..!tafuta mwanamke aliyemature ..kuna mwanamkr unaishi naye anakufanyabutafte zaidi...ww unatafta mwanamke club??tafuta mwanamkr mwenye mwamko km wako..!yaan ht iweje ukianguka atakunyanyua na ww...!mnapenda wenyewe !
 
Nimeona sina cha kukupongeza ila Mungu awe pamoja nawe tukutane juu mkuu
 
Umeandika kitu cha msingi sana kutojilinganisha na wengine na hii ndio inatutesa wengi. Wewe uko page ya kwanza unacompare na mwenzako yuko page ya 900.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…