Maisha yanaenda Kasi sana Leo Sudan Kaskazini kahifadhiwa na Sudan kusin

Maisha yanaenda Kasi sana Leo Sudan Kaskazini kahifadhiwa na Sudan kusin

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Taifa dogo changa lililopatikana kwa misukosuko na vita Kali la Sudan kusini limegeuka kimbilio la wale wasudani (waarabu)wa kaskazini ambao kwa Sasa dunia imewaacha wanyukane hadi bingwa apatikane

Ndani ya mda mfupi Juba Ina uwanja mzuri kabisa kuhost mechi za CAF huku Sudan wakiendelea kutafuta mbabe kweli naamini Sudan kusini( Wakush) walicheleweshwa sana.
 
Taifa dogo changa lililopatikana kwa misukosuko na vita Kali la Sudan kusini limegeuka kimbilio la wale wasudani (waarabu)wa kaskazini ambao kwa Sasa dunia imewaacha wanyukane hadi bingwa apatikane
Ndani ya mda mfupi Juba Ina uwanja mzuri kabisa kuhost mechi za caf huku Sudan wakiendelea kutafuta mbabe kweli naamini Sudan kusini( Wakush) walicheleweshwa sana
aroo jamaa wanatwangana sio poa. wameachwa kwa kuwa ni waarabu kama ilivyokua genocide ya Rwanda UN walisema waache watwangane weusi kwa weusi hao
 
aroo jamaa wanatwangana sio poa. wameachwa kwa kuwa ni waarabu kama ilivyokua genocide ya Rwanda UN walisema waache watwangane weusi kwa weusi hao
Yah wameachwa sababu Kila wakiambiwa fanya hivi hawasikii Kila mtu mbabe Sasa piganeni Kisha si tutaenda na mshindi
 
Huyu Mustapha Azam inamuangusha sana huyu akimaliza mkataba wake aje Jangwani avae gold na kuinua kwapa
Halafu watu wa Juba inaonekana peace sana kwa madhira waliyopitia nadhani saa hii wangekuwa wanashabikia Niger ila wako sako kwa bako na ndugu zao
Hapa kwetu wazenji huwa kimoyo moyo wanaomba stars ifungwe
 
Mungu fundi nakumbuka south sudani wakipata uhuru north sudan walijiapiza south sudan hawatakaa kwa Amani sasa kibao kimewageuka wao ndio hawana amani
 
Shida south Sudan warekebishe democracy tu yule rik machar mpaka anajikojolea mwenyew atak kuwaachia wengine
 
Nje ya mada kama wewe ni kijana Una elimu au ujuzi flani, umehangaika kupata kazi nenda South Sudan hasa Juba frusa zipo nyingi
 
Acha uongo , ripot ya mwaka huu huko ndio maskini zaidi .
 
Hwa ndio maskini zaidi duniani , hakuna nchi hapo tena wanaendekeza ubepari watajuta .
  • Burundi
  • South Sudan
  • Central African Republic
  • Mozambique
  • Malawi
 
Waarabu wa Sudan Kaskazini wanatafunwa na laana ya Wasudan ya Kusini,
Kwa sababu wakati Wasudan weusi wa kusini wanateswa na hao waarabu koko wa kaskazini walikuwa wanachekelea.

Leo hii wao ndio wanapigana na kukiona cha moto, wanaishi kama panya huku wale weusi wa Kusini wakiishi kwa amani kabisa.

Na walikuwa wanawabagua sababu ya weusi wao.

Usicheze na Mungu kabisa.
 
Hwa ndio maskini zaidi duniani , hakuna nchi hapo tena wanaendekeza ubepari watajuta .
  • Burundi
  • South Sudan
  • Central African Republic
  • Mozambique
  • Malawi
Nchi maskini zaidi duniani

Hakuna ya watu weupe hata moja
 
Back
Top Bottom