Maisha yanafaa nini bila pombe. Ukweli usiofichika

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
746
Reaction score
655
Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu

25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe,
Maana pombe imewaangamiza wengi.

26Tanuri hupima ugumu wa chuma,
Na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi.

27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi.
Maisha yafaa nini bila pombe?
Imeumbwa iwafurahishe watu.

28Kunywa pombe wakati wake na kwa kiasi,
Kwaleta shangwe moyoni na furaha rohoni.

29Lakini kunywa pombe kupita kiasi,
Kunaleta kuumwa kichwa, uchungu na fedheha.

30 Ulevi huongeza hasira ya mpumbavu akajiumiza mwenyewe;
Humdhoofisha na kumwongezea majeraha.

31 Usimkaripie jirani yako kwenye pombe,
Wala usimdharau anapofurahia karamu.
Usimwambie neno la kumwonya,
Wala usimsumbue kwa kumtaka alipe deni
 
Biblia nahisi iliingiliwa na wahuni toka zamani,naona mnaliwaza Charles kitwanga na mistari hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…