Maisha yanakwenda kasi sana. Juzi tu Polepole alikuwa kidume hapo Lumumba

Polepole anaweza akawa Waziri mkuu kwenye sirikali ya Bishop Gwajima akichukua nchi 2025πŸ’
 
Simsikii musiba cyprian pia yule dogo rc wa mara na wastaafu kuwa wampishe naye zamu i.e happy
 

Angekuwa yule mwingine nafikiri huyu angesema achanjwe ya jicho kabisa sio mkono tena [emoji23][emoji23]
 
Mbowe ananyea debe
Usije ukacheka Haya mambo, kuna siku Baba, Mama au wewe mwenyewe utaingia huko jela

Watu wanaweza weka maiti mlangoni kwako au getini ikaonekana umeua wewe

Kaa kimya mkuu, Jela usicheke

Watu wanaweza tupia nyumbani kwako vitu tena majirani Halafu wanakumaliza kuwa ndio biashara zako za hovyo

ogopa ogopa, Sali sana mkuu

Ombea maisha yako huko ofisi na mtaani
 
Nikikumbuka kile kipindi chake cha "Papo kwa Hapo" alikuwa akipiga simu viongozi walikuwa wakihaha kweli kujibu maswali yake,sasa hivi nafikri akiwa pigia simu wanaiangalia tu. Awamu ya tano ilitufunza mambo mengi sana maana ilikuwa ina watu waliokuwa hawafikirii hata siku moja kama wataondoka madarakani na kibaya zaidi walijisahau kuset alternative zao vizuri.
 
Thetallest wewe ni mpuuzi sana!! Usimlinganishe Mbowe na huyo slowslow!!
 
Akinda Albert bashite
 
Huyu mgonjwa alipiga mamilioni mengi sana kwenye ule mradi haramu wa kununua wapinzani uchwara.
 
All.in all alikuwa ana kile kipindi chake cha Tv cha kutatua kero mbali mbali za watu kiukweli alisaidiaa.sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…