Nestory Semeni
Member
- Jul 8, 2024
- 24
- 47
Dah! Je huwa inakusaidia?Mimi Huwa namtupia lawama zote shetani.
Nijapopita kati ya bonde la UVULI WA MAUTI, WEWE upo pamoja nami.
najikumbusha hii verse then, nafanya
Waoh!Huwa nacheka kwanza. Nikiona mambo yamegoma, najua universe inanijaribu. Huwa siumizi kichwa, nachukulia kama gossip tu ya mjini halafu naendelea na mishe nyingine kwani maisha yenyewe ni mafupi mno kukaa na stress.
Kama ulichoandika hapa ni kweli "Mimi huwa nafanya hivi ......""Huenda wewe ni mfanyabiashara,
Mwajiriwa,
Au umeniajiri,
Huwa unafanya ninibunapoona gafla mambo yamebadilika?
kipindi hicho unafanyeje usikate tamaa na uendelee kupambana?
Mimi natumia njia hii;
- Kujitenga na kuliangalia swala kwa undani
- kujua kwa nini limetokea na mimi nimesababishaje hilo swala kutokea
Na mwisho,
- Naanza kuchukua hatua kurekebisha mambo.
Wewe huwa unafanyaje?
Sio kila wakati inakuwa hivyo wakat mwingine najaribiwa kupanicKama ulichoandika hapa ni kweli "Mimi huwa nafanya hivi ......""
Basi hongera sanaaa.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Yah! inapunguza sana msongo na kujilaumu au manung'uniko na kutuliza akili jinsi ya kutatua changamoto kwa utulivu zaidi....Hivi meditation inasaidia nayo? Na kwa kiwango gani?