Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Haya mkuu uhakika wa castle lite kumi upo sasa tukutane kiwanja gani mimi nina hamsini elfu hapa kreti zima la Serengeti lager na nyamanyama tunapata!...😜Hamjambo wanabodi.
Moja ya vitu vinampa mtu Amani na utulivu ni kufurahia mazingira ,iwe kazini,hotelini,mgahawani inshort kila unachofanya ni vizuri sana ukikifurahia.
Lakini suala la ugumu maisha linaweza kukufanya ukawa mwenye msongo wa Mawazo muda wote kwasababu ya kubadilisha mazingira.
Hebu fikiria.....
Upo kwenye nyumba ya kupanga,ni mahali umepazoea, lakini ghafla mwenye nyumba anakupa notice ya kutakiwa uhame kwasababu zozote zile iwe nyumba kuuzwa,kufanyiwa service au hata kupata mpangaji mwenye pesa zaidi.
Kwa vyovyote inaumiza haswa kama huna pesa ya kutosha,kuanza kutafuta nyumba mpya,tena mazingira hujazoea inakata.
Pia hata nyumba yako mwenyewe,inaweza kuwa umejenga kimakosa ,open spaces,au serikali ikataka uhame kupisha ujenzi fulani,hii imewafanya watu wengi kuwa na msongo wa Mawazo,ni heri ulipwe lakini kama ulivamia eneo kimakosa,Kwa kutojua lazima ujikute unaathirika kisaikolojia.
Lakini kazi na vibarua vyetu,yaani unaamka asubuhi unaenda ofisini Kwa furaha na bashasha,unakutana na barua ya uhamisho wa kazi,yaani utoke hapo unapofanya kazi uende sehemu nyingine.
Unakuna kichwa,unavuta pumzi ndefu unazishusha ,huku huamini,
Ni afadhali kiasi kama unahamia sehemu Kwa kupanda daraja,au salary imeongezeka,
Lakini unaweza kuta unahamishwa kwakuwa hutoshi sehemu fulani,au ni masuala ya kinidhamu.
Hakika inaumiza,kuhama na familia ,kuhamia sehemu usiyoizoea,Mila tamaduni na desturi tofauti,inabidi uanze kuishi kimaigizo ili kuendana na mazingira ya ofisi mpya,Viwanja vipya,Marafiki wapya.
Inakuwa ni ngumu Kwa mtu aliyefanya kazi zaidi ya 15 years umpeleke mkoa,labda wa mkoa ahamie jijini.
Wazee tukumbuke kuwekeza Kwa tunachopata,huna ulazima wa kufanya kazi hadi ustaafu.no
Niliamua kustaafu Kwa hiyari nikiwa hata 55 sijafika,hii imenipa muda wa kutosha kufanya mambo yangu madogo madogo si makubwa kihivyo lakini maisha yanaenda.
Uhakika wa Castle lite 10 Kwa siku (kila siku)upo alhamdulilah😂
Ibungu bar mabibo?Njoo Ibungu bar Leo nitakuwa pale kuanzia saa mbili,karibu mkuu.
Gongo hasa iwe ya mihogo ni nono mnoo.Unaigida halafu unashushia magimbi.Wengine tuna uhakika wa gongo kila siku.
Bila kusahau nyama choma na ndizi rosti tatu na pilipili kwa mbaliUhakika wa Castle lite 10 Kwa siku (kila siku)upo alhamdulilah😂
Umekaa kwa wapi mkuu niko nyuma ya hili jidada lenye trako hapa linalokata nimeshikilia henesiNjoo Ibungu bar Leo nitakuwa pale kuanzia saa mbili,karibu mkuu.
Liambie, mwanamke akishazidi umri wa 35 kuolewa ni ngumu.Umekaa kwa wapi mkuu niko nyuma ya hili jidada lenye trako hapa linalokata nimeshikilia henesi
Nipo hapa sokota nakuja hapoUmekaa kwa wapi mkuu niko nyuma ya hili jidada lenye trako hapa linalokata nimeshikilia henesi
Hii nzuri uanaume mapambanoMabadiliko yanapokuja, yapokee kwa mikono miwili.
Mengine huja na baraka japo mwanzoni huonekana ni ngumu kuzoea.
Kuna kipindi nilipigika,sina kazi, kodi nikadaiwa mpaka mwenye nyumba akaamua kunitimua.
Nikazunguka kutafuta nyumba mji mzima mpaka nikapata, nikalipa mwezi mmoja maana ndio hela niliyokua nayo.
Mwenye nyumba nikamdanganya, nilikua na nyumba ila imeondoka na mafuriko.
Hivyo anipangishe mwezi mmoja tu, baada ya hapo nitahamia mkoani(kuna malipo nasubiri).
Tukaandika mkataba mmoja mzito sana, masharti kama naoa mzungu. Kidume nikahamia.
Nikapata jirani mmoja zikaiva ndani ya siku chache tu, jamaa akanipa mchongo wa kazi, nikapata mishe.
Mwenye nyumba nikawa namuongeza tu kodi mdogo mdogo, akija na tamaa nampa kodi ya mwezi, akinikuta vizuri nampa hata ya miezi 3, mfululizo.
kuja kuztuka namdai kodi zaidi ya mwaka, nikamfosi tukaandika mkataba.
Nikawa naishi maisha kama naishi bure yaani.
Ndiyo ni hapoIbungu bar mabibo?
Nilikuja one time na rafiki yangu ilikua J4 kulikua na band ya tukuyu kama sikosei