sometyme hyo exposure unaweza usiipate kabisa huko nje ya JF.......for sure JF inatufanya kujua mengi aseeNdio maana inachukiwa na mafisadi.
Jf itakupa exposure ambayo ingekuchukua miaka mingi sana kuipata mtaani.
Unforgetable
Unasema hujawahi kuona JF watu wakipinga dhana ya uwepo wa Mungu? Umejiunga lini na JF? Nenda intelligence ukaona ligi ilivyokuwa na mara kibao tu ilifikia hatua ya kukubaliana kutokukubaliana baina ya walioamini na wasioamini!Ulikuwa bogas ujuaji uliopitilza mpaka kufikia stage ya kuona hakuna mungu na kumwambia mwenzake asiombe kwa mungu ni ujinga ulipitiliza sana.
Kwa wakati ule sikuona hatari yoyote, japo kwa Sasa naona umuhimu wa kuwa 100% anonymous ila siwezi kuiacha hii account nimetoka nayo mbaliMkuu, ulikubalije kuunganishwa na MTU JF, mtsndao secret kama huu.. Me jamiiForum sitaki hata baba angu aijue ID yangu japo anafahamu nami ni member toka kitambo..
Hata mzee nae sijawahi kuifahamu ID yake
Humjui Kiranga wewe!Ulikuwa bogas ujuaji uliopitilza mpaka kufikia stage ya kuona hakuna mungu na kumwambia mwenzake asiombe kwa mungu ni ujinga ulipitiliza sana...
Kwamba sanamu la watuπTumpe nini Anna wa watu kwa kukomboa sanamu la watu..π
Jf kwangu nilikuta naijua tu!.. ilikuwa nikisearch Google kitu fulani naona wananidirect huku jf.. mwishowe nikanogewa nikajiunga nikawa member nilianza kama mpole ila sahivi sasa..π
Jf ni kisima Cha maarifa na ujinga pia na jokes hizo zote ni sifa tulizonazo wanadam,so ni vile tu utaamua uchote kipi uache kipi..
Tumpe nini Anna wa watu kwa kukomboa sanamu la watu..π
Jf kwangu nilikuta naijua tu!.. ilikuwa nikisearch Google kitu fulani naona wananidirect huku jf.. mwishowe nikanogewa nikajiunga nikawa member nilianza kama mpole ila sahivi sasa..π
Jf ni kisima Cha maarifa na ujinga pia na jokes hizo zote ni sifa tulizonazo wanadam,so ni vile tu utaamua uchote kipi uache kipi..
Mkuu naona unataka kukurupua yaliyolala.. muache Saint Anne yupo kanisani analitumikia kanisa.. na hayo ni maombi yake yameanza kufanya kazi..Huyu siyo Saint Anne kweli? Maana alivyoandika ni kama huyu wa humu mwenye mapenzi tele na Kanisa.
Mkuu naona unataka kukurupua yaliyolala.. muache Saint Anne yupo kanisani analitumikia kanisa.. na hayo ni maombi yake yameanza kufanya kazi..
Tena ukae nae mbali pita kuleee..Kila la heri na baraka kwake.
Tena ukae nae mbali pita kuleee..
Afadhali..πMkuu mie sijawahi kuwaza lolote kuhusu yeye. Achana na hizo dhana zako POTOFU.
Hahahaaa! Ni nalimison sio ulivyoandika weweCc DON namilison