muulize upo wewe?
NASHINDWA KULALA HUZUNI YA MOYO WANGU NAIJUA
MACHOZI HAYAISHI
LONELY LONELY NIMEBAKIA NILIEMPENDA KACHUKULIWA.
MUDA WOTE MPWEKE MIMI NALIA NAHISI NAMKUFURU MUNGU KWENYE HII DUNIA
hako kawimbo nakapendaga.......
Sasa huyo paka mweusi anatuletea ujumbe gani.....
Diseal ! Unauliza vumbi stoo ? Unajifanya hujui hapa mkekani kuna membar mwenye jina la huyo mnyama ? Kama jina hulioni na picha pia !
somaaa nyakatiiiii see now nimeelewa, 2najichanganya na thread kumbe zina wenyewe, lol
i see now nimeelewa, 2najichanganya na thread kumbe zina wenyewe, lol