Asante mkuu sikulijua iloMleta mada ni wale jamaa wenye ujuaji mwiiingi kutoka ile kanda ya Vice Prez!
Kwenye chanjo yoyote huwa hawatumii "kitakasa wadudu" mfano spirit nk! kwasababu ile chanjo ni vijidudu vya ugonjwa husika waliopunguzwa nguvu! Ukiweka spirit hapo kwenye ngozi na sindano ikapita hapo upo uwezekano wa kuwaua kabisa hao wadudu wa chanjo hata kabla hawajaingia mwilini mwako mwili uwauwe na hivyo kutengeneza kinga (ambalo ndio lengo la chanjo). Hiyo hasa ndiyo ndharia tuliyofundishwa!
cabo siku nyingine muulize muuguzi kuwa kwanini ulipochoma Penadul walitumia spirit ila kwenye chanjo hujatumia?
Kuhusu gloves, WHO walishatoa ufafanuzi...!
Mhudumu wa afya anashauriwa kuosha mikono kabla na baada ya kumuhudumia mgonjwa...umaskini wa nchi, hizo gloves za kutumia kwa kila mgonjwa utazipata wapi? maana zinatoka India na China, hata maji ya sindano yanatoka hapo jirani kwa Museveni
Na hilo la kuchomwa na mkono mmoja je, sio ishara kwamba alimuona mgonjwa ng'ombe?Mleta mada ni wale jamaa wenye ujuaji mwiiingi kutoka ile kanda ya Vice Prez!
Kwenye chanjo yoyote huwa hawatumii "kitakasa wadudu" mfano spirit nk! kwasababu ile chanjo ni vijidudu vya ugonjwa husika waliopunguzwa nguvu! Ukiweka spirit hapo kwenye ngozi na sindano ikapita hapo upo uwezekano wa kuwaua kabisa hao wadudu wa chanjo hata kabla hawajaingia mwilini mwako mwili uwauwe na hivyo kutengeneza kinga (ambalo ndio lengo la chanjo). Hiyo hasa ndiyo ndharia tuliyofundishwa!
cabo siku nyingine muulize muuguzi kuwa kwanini ulipochoma Penadul walitumia spirit ila kwenye chanjo hujatumia?
Kuhusu gloves, WHO walishatoa ufafanuzi...!
Mhudumu wa afya anashauriwa kuosha mikono kabla na baada ya kumuhudumia mgonjwa...umaskini wa nchi, hizo gloves za kutumia kwa kila mgonjwa utazipata wapi? maana zinatoka India na China, hata maji ya sindano yanatoka hapo jirani kwa Museveni
Mkuu hapo kakosea kwakweli! Namuombea msamaha!Na hilo la kuchomwa na mkono mmoja je, sio ishara kwamba alimuona mgonjwa ng'ombe?
TUKIO LA PILI: kuna pisi pande nazo ishi kali ila sio kiivo sema inashep flani hivi yakinyamwezi siku flani ilinikuta pande flani za genge la mama zawadi( sio jina halisi) nikazingua zingua kidogo ikaitika nikatekenya ikanembua nikasema eeeehe mambo ndio haya sasa nikaisubiri inunue mazaga ikawa inaondoka nikaifuata kujaribu kutia ndoano ikagoma kutoa ma contact nikasema poa haina mbaya tukaachana ivo ingawa tunaonana kwa mbali mbali.Pole sana.
Tueleze kisa kingine