SoC04 Maisha yetu ni afya Bora na afya Bora ni Misha yetu

Tanzania Tuitakayo competition threads

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Kama kila binadamu hapa ulimwengu atakuwa na afya bora maisha yetu nayo yatakuwa Bora Kwa sababu watu watawajibika katika kujenga taifa na taifa litawajibika kutujenga wnanchi Kwa kutupatia hewa safi isiyo na buguza ndani yake.

Ni vizuri kutambua kila kiumbe hai kina uhitaji wa afya Bora kwenye ukuaji wake wa kila siku hapa duniani.tunaweza fanya vitu vifuatavyo tukaweza kutunza afya zetu Kwa miaka mingi na mingi nazo ni njia zifuatazo.

1.kila binadamu ni wajibu wake kupata kujua faida za kuwa na afya Bora (apate elimu hiyo bila kipingamizi ama mikwamo yoyote ile)
2.kila mkoa ama wilaya kuwepo na waganga Bora na wazoefu kwenye vituo vya kazi.
3.kila kwenye kituoa Cha afya kuwepo na wahudumu wa kutosha ili kutoa huduma Bora Kwa kila mhitaji huduma.
4.kila kwenye kituo kuwepo na vifaa Tiba vya kutosha.
5.kila kituo kiwe na mtaalam mbobezi kwenye kitengo husika.
6.kupatikane madawa ya kutosha na vifaa idara zote ZeNye uhitaji wa vitu hivyo.
7.tutunze mazingira na vyanzo vya upatikanaji dawa za miti ya asili
8.tuwe na utaratibu wa kubadilisha uzoefu na wenzetu walio endelea ili kuboresha taaluma za matibabu vituoni mwetu
9.maabara ziwe na wataalam wabobezi hasa wa kutumia vifaa vya kupimia magonjwa mbalimbali

Tukifanya hayo Kwa weledi wa hali ya juu afya zetu na zitakuwa Bora Leo kesho na hata kesho kutwa na salama sana Kwa muda mrefu.

Nn kifanyike
Serikali ikubali kubeba majukumu mama yake kama kuleta vifaa Tiba ,madawa na kuajili wataalam pia kuleta wabobezi kutoka nje kubadilisha a uzuji na wakwetu hapa nchini na kuwalipa mishahara vizuri wafanyakazi sekta ya afya ili wapate kufanya kazi vizuri na vizuri zaidi kulinda afya zetu.

Afya Bora Kwa miaka mingi ijayo inawezekana kuimarika Kwa kila kaya
 
Upvote 1

1. Kuishi = Leo "kula msosi bora, mavazi, kufurahia uhai, kutunza afya, kuwa Mcha Mungu".
2. Maisha = Leo + Kesho "Nyumba nzuri, usafiri, biashara au kitega uchumi thabiti".
Tuiishi vyema zaidi leo maana kesho bora hutokana na leo njema..

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Back
Top Bottom