MAISHA

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Maisha bhana *huwa nayo hayapendagi ujinga kabisa...!!!*
mshahara ukiingia tu wiki ya kwanza unakula kuku, ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku (mayai) wiki ya tatu ya mshahara unaanza kula vyakula vya kuku (mahindi)...kimbembe huwa ni wiki ya nne maana unakuwa kuku kabsaa (unazurura tu)

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…