maishaa sio magumu...!!!

maishaa sio magumu...!!!

jerry joshy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
402
Reaction score
504
Mi ninavyoona maisha sio magumu na hayajabadilikaa ilaa utofauti ni jinsi ulivyokuwaaa unajipatiaa kipato chako kama ilikuwa ni kwa halali maishaa yatakuwa ndo yale yale ila kama mlikuwa mmezoeaa janja janjaa lazima jua liwawakiee 24/7
PhotoGrid_1480504820231.png
 
Kwahiyo na Wale Wawekezaji ni Wajanja Wajanja ..

Bandari inakimbiwa na Wajanja Wajanja au
 
Mi ninavyoona maisha sio magumu na hayajabadilikaa ilaa utofauti ni jinsi ulivyokuwaaa unajipatiaa kipato chako kama ilikuwa ni kwa halali maishaa yatakuwa ndo yale yale ila kama mlikuwa mmezoeaa janja janjaa lazima jua liwawakiee 24/7
View attachment 441348
Swali: Kufanya biashara ni halali?
Jibu: Ndio
Hali ya sasa: Kupungua kwa wateja au hakuna kabisa.
Swali: Mfanya biashara huyu atakuwa na maisha magumu au mepesi?

Msiwe na majibu rahisi kwenye maswali Magumu. Ukizuia magendo kwa ghafla hata Halal huathilika. Lengo la Rais wetu ni zuri lakini utekelezaji wake ndio tatizo.
 
Kuna watu wanapost vitu kama vile wanaishi China kumbe tupo nao hapahapa... Poor you
 
Back
Top Bottom