Maison club

Hahah! [emoji3][emoji23]

Aisee mwamba naona sungura pori wa Telegram wamejaa hapo [emoji1787][emoji23][emoji23]

Utakua umemaliza watoto wa team uaminifu wote ww
Team Uaminifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilibidi nidelete kabisa Telegram maana niliona mbele kuna hatari inakuja.Team Uaminifu bado ipo
 
Team Uaminifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilibidi nidelete kabisa Telegram maana niliona mbele kuna hatari inakuja.Team Uaminifu bado ipo
Hahaha nakuona legend mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji3577]

Kwa usalama wa afya ya uchumi wako kule hakufai [emoji23]

Team uaminifu bado ipo boss [emoji23]
 
Level 8 je??
 
Hahaha nakuona legend mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji3577]

Kwa usalama wa afya ya uchumi wako kule hakufai [emoji23]

Team uaminifu bado ipo boss [emoji23]
Nipe link pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…