Maiti kutia mimba inakuwaje?

Pit brown

Senior Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
132
Reaction score
64
Habari wana JF,

Kulikuwa kuna post moja juu ya habari za mwanamke kufanya mapenzi na maiti kisha kupata mimba iliyopostiwa na JamiiForums nami nikawa na maswali mengi nikaona nilete hoja mbele zenu kupata majibu ya kitaalamu.

Pengine mimi nikawa na mtazamo tofauti kidogo katika post hii na nahitaji majibu ya kitaalamu kuweza nami kuelewa katika hili kwani nimekuwa nikiifikilia hii post ndani ya siku mbili bila kujipatia majibu.

Kwa uelewa wangu mdogo ninavofahamu mimi katika uume kusimama na kufanya mapenzi.

Uume kusimama katika sababu kuu mbili za kibiolojia
SAB 1. ni mchocheo wa hisia za kimapenzi eidha kimawazo au ndoto au kwa kuona ambapo upelekwa mpaka kwenye ubongo kisha ubongo hutoa tasfiri ndani ya dakika sifuri na kwenda kusisimua misuli husika katika uume na kuufanya mzunguko kasi wa damu kwa kusababisha mzunguko mkubwa wa damu inayoenda kwenye uume kuliko inayotoka na kuupelekea kusimama kwa uume.

SAB 2. Haswa wakati wa baridi ingawa si mara zote kama ilivo ngozi moja ya kazi zake ni kuweka sawa joto la mwili pamoja na kuhisi ambapo taarifa hizi zote upelkwa kwa hark ndani ya dk 0 kwenye ubongo na kutoa taarifa kuwa wewe unahisi joto au baridi, sasa uume usimama vipi[ na tujue kuwa asilimia tisini ya uume ni ngozi]sasa ni pale ngozi inavojaribu kulinda joto lake au kueka uwiano sawa wa joto hivo ubongo kutoa taarifa na hivo kwenda kusisimua leya ya pili ya ngozi pamoja na msuli ili kulinda joto lake lisipotee na mabadiliko hayo wakati mwengine kufanya kusimama kwa uume.

TUJE KWENYE KUFANYA MAPENZI MAPKA KUMWAGA AU KUTOA MBEGU ( SHAHAWA)
ni ule mchocheo wa hisia za kimapenzi mfululizo kwa kusugua sehem ya mbele ya uume au kichwa na kupeleka taarifa kwenye ubongo na kutasfiri taarifa hzo ndan ya dk 0 kisha wew kuhisi raha katika hilo tendo hilo.
Kumwaga mbegu ni kilele cha juu cha hisia hzo kwa kusisimua utayari wa mbegu hizo kutoka na kuletwa tasfiri ya ubongo kuhisi raha pale mbegu zinapotoka.

UKAKASI WANGU UKO HAPA! Mfumo mzima wa uume kusimama asilimia 90 kama sio zote uletwa na ubungo kuratibu matendo yote hayo, je ume unasima vipi na ikiwa hakuna mawasiliano yoyote ya ubongo.

Je msukumo wa damu na misuli unakuwa unaendelea kufanya kazi ikiwa mtu amekufa au unakuwa umesimama?

Je ni mchocheo gani unaopelekea mpaka kutoa mbegu ikiwa hakuna mawasiliano kwasababu uume si kama koki kusema unafungua unafunga.

Sasa kumbe maiti inaweza kuzalisha ni maana halisi ya kufa.

Naomba msaada nami nifahamu
 

Attachments

  • 20180526_111255.png
    62.2 KB · Views: 109
  • 20180526_111255.png
    62.2 KB · Views: 96
Uume kusimama ni damu kukaa kwenye mshipa. Mtu akifariki nadhani mzunguko wa damu unasimama

Hili swala nililifikiria nikaona haliwezekaniki ila madaktari wanaweza wakawa na mawazo tofauti.

Huyuu mbakaji wa maiti sijui alipataje shahawa.
sasa sielew....je kuna njia ipi aliotumia kusisimua mosuli had mbegu
 
Tuanze kwa kujua ni uchunguzi gani alitakiwa kuzifanyia hizo maiti..? Kikawaida sirahisi kupata mimba japo kufanya mpenzi inawezekana
 
k
Kama hiyo maiti ilitokwa uhai uume ukiwa stand by, usitarajia nao unalala hapohapo.

Pia kumbuka moyo nao hausimami papo hapo, mtu akifa ambao husukuma damu
kwa ninavofaham mimi moyo na ubongo hausimam apo apo....ila tasfiri ya tendo ni mrejesho baada mtu kuhis....je ni viungo vingapi vilivosimam kazi zake mpk ubongo ufanye kazi zote hizo....
 
Tuanze kwa kujua ni uchunguzi gani alitakiwa kuzifanyia hizo maiti..? Kikawaida sirahisi kupata mimba japo kufanya mpenzi inawezekana
inawezekana sawa je mfululizo wa hisia hzo huwa cormfied na nan na ikiwa tayar umaiti...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…