Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swala lako nalifananisha na issue mmoja nilipata kuisikia zamani kidogo yapata 25 years back,Habari wana JF,
Kulikuwa kuna post moja juu ya habari za mwanamke kufanya mapenzi na maiti kisha kupata mimba iliyopostiwa na JamiiForums nami nikawa na maswali mengi nikaona nilete hoja mbele zenu kupata majibu ya kitaalamu.
Pengine mimi nikawa na mtazamo tofauti kidogo katika post hii na nahitaji majibu ya kitaalamu kuweza nami kuelewa katika hili kwani nimekuwa nikiifikilia hii post ndani ya siku mbili bila kujipatia majibu.
Kwa uelewa wangu mdogo ninavofahamu mimi katika uume kusimama na kufanya mapenzi.
Uume kusimama katika sababu kuu mbili za kibiolojia
SAB 1. ni mchocheo wa hisia za kimapenzi eidha kimawazo au ndoto au kwa kuona ambapo upelekwa mpaka kwenye ubongo kisha ubongo hutoa tasfiri ndani ya dakika sifuri na kwenda kusisimua misuli husika katika uume na kuufanya mzunguko kasi wa damu kwa kusababisha mzunguko mkubwa wa damu inayoenda kwenye uume kuliko inayotoka na kuupelekea kusimama kwa uume.
SAB 2. Haswa wakati wa baridi ingawa si mara zote kama ilivo ngozi moja ya kazi zake ni kuweka sawa joto la mwili pamoja na kuhisi ambapo taarifa hizi zote upelkwa kwa hark ndani ya dk 0 kwenye ubongo na kutoa taarifa kuwa wewe unahisi joto au baridi, sasa uume usimama vipi[ na tujue kuwa asilimia tisini ya uume ni ngozi]sasa ni pale ngozi inavojaribu kulinda joto lake au kueka uwiano sawa wa joto hivo ubongo kutoa taarifa na hivo kwenda kusisimua leya ya pili ya ngozi pamoja na msuli ili kulinda joto lake lisipotee na mabadiliko hayo wakati mwengine kufanya kusimama kwa uume.
TUJE KWENYE KUFANYA MAPENZI MAPKA KUMWAGA AU KUTOA MBEGU ( SHAHAWA)
ni ule mchocheo wa hisia za kimapenzi mfululizo kwa kusugua sehem ya mbele ya uume au kichwa na kupeleka taarifa kwenye ubongo na kutasfiri taarifa hzo ndan ya dk 0 kisha wew kuhisi raha katika hilo tendo hilo.
Kumwaga mbegu ni kilele cha juu cha hisia hzo kwa kusisimua utayari wa mbegu hizo kutoka na kuletwa tasfiri ya ubongo kuhisi raha pale mbegu zinapotoka.
UKAKASI WANGU UKO HAPA! Mfumo mzima wa uume kusimama asilimia 90 kama sio zote uletwa na ubungo kuratibu matendo yote hayo, je ume unasima vipi na ikiwa hakuna mawasiliano yoyote ya ubongo.
Je msukumo wa damu na misuli unakuwa unaendelea kufanya kazi ikiwa mtu amekufa au unakuwa umesimama?
Je ni mchocheo gani unaopelekea mpaka kutoa mbegu ikiwa hakuna mawasiliano kwasababu uume si kama koki kusema unafungua unafunga.
Sasa kumbe maiti inaweza kuzalisha ni maana halisi ya kufa.
Naomba msaada nami nifahamu
du huy hakufaHili swala lako nalifananisha na issue mmoja nilipata kuisikia zamani kidogo yapata 25 years back,
Eti Kuna Jamaa alifariki akiwa amesimamisha Uume wake. Sasa wakati anaoshwa (Jamaa alikua Muislam) wale waoshaji wakastuka kuona kitu kimesimama hakilali asilani na Jamaa ashafariki,
Sasa eti ikabidi wakubaliane wamuite Mkewe na Marehemu wakawafungia mahali, mke akaanza "kuishughulikia" mpaka Marehemu akafika kileleni ndio kitu kikalala,
Hii story niliisikia kijiweni tu wakati huo, pengine yalikua tu "Mastory ya Town",
Huyo sio mfu bali ni mazingaombweMshana jr
Jua kuwa mbegu X hukaaa masaa 72 kabla ya kufa na mbegu Y hukaaa masaaa 48 kabla ya kufa sasa hapa theory yangu ni hii hapa.
-> huyo marehemu inawezekana alikuwa ana matatizo ya moyo hivyo alipokuwa anafanya mapenzi pindi alipofika climax (kileleni) alifariki kwa mshtuko wa moyo jua kuwa moyo huongezeka mapigo pindi mtu anapokuwa anakaribia kumwaga na anapomwaga
Hivyo huyo maiti alishamwaga manii na alipofariki uume wake ulikuwa bado una chembe chembe za manii yale hivyo alipofikishwa mochwari jua kuwa mwili huwa hauwekwi kwenye freezer lile mpaka afanyiwe vipimo hivyo dada huyo alipoenda kufanya naye mapenzi manii yale yaliingia kupitia uke wake na kwenda kurutubisha yai (ina maaana alikuwa kwenye siku za hatari).
Na inavyoonekana alikuwa amegusanisha uume wa marehemu kwenye uke wake na jua kuwa si lazima uume usimame ndipo eti mimba inaweza kuingia as long as alishamwaga manii na baada ya hapo akawa in contact na uke wa huyo mdada basi mimba huingia.
It's Awkward to understand mkuu. Mtoa mada anadai "Mwanamke alala na maiti na kupata Mimba"..!!! Nawewe unasema ni mazingaombwe...!!Huyo sio mfu bali ni mazingaombwe