MBEGU za PARACHICHI hutibu magonjwa ya fuatayo.
🌿High blood pressure
🌿High cholesterol
🌿Asthma
🌿Low immunity
🌿Cancer of the blood
🌿Obesity
🌿Candidiasis
View attachment 2883899View attachment 2883900View attachment 2883901View attachment 2883902
Unachotakiwa kufanya ni kuchukua MBEGU ya PARACHICHI na kuisaga alafu utapata Unga.
Matumizi: Utakuwa unachemsha maji anaweka kwenya kikombe cha Chai alafu unachukua vijiko viwili vya Unga unaweka kwenye kikombe chako tumia Asali badala ya chai unakunywa Asubuhi kabla ya kula chochote.
Iwe ni kawaida yako kila siku utapata majibu.
Umenikumbusha historia yangu na parachichi.
Kuna siku nilikuwa nimepoa kwangu Sinza Mori maskani.
Nimetembelewa na rafiki zangu Wamarekani wamekuja Tanzania, wanataka kuona Tanzania, kula vyakula vya Kitanzania, kupata kuijua Tanzania zaidi ya kutalii tu. Hawa walikuwa rafiki zake mdogo wangu waliotoka chuoni Marekani na kuja likizo ya "Summer" Tanzania.
Sasa mimi nikawakaribisha kwangu, nikawatembeza mjini, kula kwenye migahawa ya Kichangachui, halafu wakataka kula chakula cha nyumbani.
Sasa katika pitapita nilikwenda nao Ferry kununua masamaki samaki na mazagazaga mengine mengi waliyoyapenda, wakanunua prawns, shrimp and other shell fish by the bucket. Waliona ajabu kwamba kwa pesa yao ndogo tu (US dollar) unapata kisadolini cha shrimp kwa mfano.
Nikapita Namanga, wakanunua mahitaji yao. Walikuwa wanataka extra virgin olive oil na mazagazaga kibao. Mimi nikanunua matunda kibao. Yakiwamo maparachichi.
Basi, kufika nyumbani Sinza Mori, ikawa zamu yao kunionesha vyakula vya Kimarekani.
Wakawa wanapika yale ma shrimp.
Mimi hapo sijawahi kula shrimp maisha yangu yote.
Basi ukafika wakati wa kula.
Wakapakua yale ma shrimp, na mimi wakanipakulia.
Baba yangu alibahatika kutembea sehemu nyingi duniani. Akipiga picha huko alikoenda Malaysia, China etc, mezani akiwa na vyakula vya ajabu. Sasa tulivyokuwa watoto tulikuwa tunamtania, wenyeji wako wakiwa wanakula nyoka na wewe utakula? Akasema, kama wao wanakula, na mini nitakula.
Basi, ingawa nilikuwa sijawahi kula shrimp, nikaona nifuate ushauri wa Baba yangu. Wenzangu wakila, na mini nitakula.
Basi nikaanza kula.
Ile napiga tonge la pili tu, nikawa najisikia koo linaniwasha kichizi, the roof of my mouth was itching.
Ngozi imeanza kuvimbavimba, nawashwa, pumzi kama inakata.
Hapo hapo nikajua nina allergic reaction na shrimp.
Nikasema ngoja nikimbilie bafuni kuoga. Labda maji yatasaidia.
Nimekimbikia bafuni kuoga, haikusaidia kitu.
Nikawa nimekaa jikoni naangalia vyakula. Nikaona yale matunda niliyonunua.
Nikasema hili parachichi lina plant protein, bila shaka litasaidia.
Nikalikata moja. Nikawa najipaka parachichi kama mafuta.
Baada ya kama dakika moja tu, ule uvimbe uvinbe kwenye ngozi ukatoweka. Hali yangu ikawa nzuri tena.
Nikagundua kuwa mafuta ya parachichi yana neutralize ile allergic reaction kwenye ngozi.
Kuanzia siku hiyo, hata nikiwa wapi, mimi na shrimp/shellfish ni vitu mbalimbali sitaki kabisa.
Na parachichi naliheshimu kama dawa.