Majadala wa rasimu ya katiba mpya: Pamoja na siasa, tuufanye kisayansi zaidi

Majadala wa rasimu ya katiba mpya: Pamoja na siasa, tuufanye kisayansi zaidi

Jamani tuacheni sauti za wananchi yaani maoni ya watu kama yalivyochambuliwa na Tume yatawale. Tukitaka Serikali mbili tutarudi kule kule kwa mwanzo hata tukafanya mambo Zanzibar kiasi wengi hawaelewi kama sasa ni serikali mbili au ni vipi. Ni katiba mpya ya Zanzibar ndiyo iliyoinyamazisha Zanzibar. Maana ya serikali mbili itaunja tena katiba ya Zanzibar ambayo si ya serikali mbili tena. Seriklai tatu zitadumisha muungano kliko serikali tatu.
 
Back
Top Bottom