Majadiliano katika dola ya kale ya Uajemi, umuhimu wa kuthibitisha mawazo katika hali tofauti

Majadiliano katika dola ya kale ya Uajemi, umuhimu wa kuthibitisha mawazo katika hali tofauti

Bob Manson

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
4,158
Reaction score
7,787
Katika Dola ya Kale ya Uajemi (Persian) wanaume walikuwa wakijadili mawazo mara mbili katika mchakato wa majadiliano (debate).

Maramoja walifanya hivyo wakiwa hawajalewa, na mara nyingine wakiwa wamelewa. Sababu ya kufanya hivyo ilikuwa ni kuhakikisha kwamba wazo lolote lililojadiliwa lina maana na mantiki katika hali zote mbili.

Wengi waliweza kutoa mawazo yenye maana katika hali zote mbili, wakilenga kufikia ukweli bila kujali hali ya akili ya wakati huo.

Swali: Je, katika jamii ya sasa, wapo watu wanaoweza kutoa mawazo yanayofanana na yenye maana katika hali zote mbili? Yani wakiwa wamelewa na hawajalewa?
 
Back
Top Bottom