Majadiliano ya ripoti ya mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali bungeni

Majadiliano ya ripoti ya mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali bungeni

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Nimemsikiliza sana kwa maakini taarifa ya Mhe. Mpina kuhusu ubadhirifu uliofanywa na Mhe. Mwigulu - Waziri wa Fedha, Mhe. Prof. Mbarawa aliyekuwa Waziri wa Ujenzi na sasa Waziri wa Uchukuzi, na Meneja Mkuu wa TRC Ndugu Kadogosa kwa ubadhirifu mkubwa walioufanya kwenye Mradi wa SGR.

Kama yale maneno ya Mhe. Mpina ni za kweli wale wote aliowataja Mhe. Mpina leo wangekuwa korokoroni (behind the bars).

Tuna Sheria ya PPRA anatokea mtu mmoja anavunja sheria na kuipa nchi hasara ya mabilioni na huku bado yuko ofisini.

Ninakuomba Mhe. Rais nchi yetu ni sote na wewe binafsi unachukia ubadhirifu na wizi wa fedha za Umma.

Hawa Mawaziri na Mkurugenzi Mkuu wa TRC waliotajwa wachukuliwe hatua mara moja na kufikishwa Mahakamani.

Tusionane aibu kwa wakubwa ila watumishi wenye nyadhifa ndogo ndogo kama Wakurugenzi wa Halmashauri wakichuliwa hatua.

Hii ni aibu kubwa.
 
Hii Nchi mijizi tupu natamani niyatukane majizi matusi ya nguoni hapa je ruksa? .....zao ma...mae
 
Naunga mkono hoja ila asionewe mtu.
 
Wakubw hawakosei na wakikosea hawasemwi
.
ILA wew mtumish wa chin kosea kila mtu atakuja na tamko[emoji383][emoji338][emoji594][emoji32][emoji58][emoji58]

Tz wake up [emoji3]
 
Back
Top Bottom