Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majaji Miss Dar City Center -- Who got the confindence?
Mmmmmmmmmmmh, nimechoka.
..Hivi huyo si Gerald Hando wa Clouds fm?? naona dogo anachoka tu au Kusaga ame-cut off mirija ya madhiwa??:A S-eek:majaji ovyoooooooo huyo kaka hapo anachungulia nini,:A S tongue:
..Hivi huyo si Gerald Hando wa Clouds fm?? naona dogo anachoka tu au Kusaga ame-cut off mirija ya madhiwa??:A S-eek:
Je ni sahihi kuwaita hawa watu majaji, kamusi ya kiswahili sanifu,Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Oxford University Press, 2002 Reprint ukurasa wa 88 inamueleza jaji kama "mwamuzi katika mahakama,; hakimu" . Utaona basi sio sahihi kabisa kuwaita watu wanaosailii wadada wa vinguo vifupi kuwa ni majaji naona litafutwe jina lingine.
Duh kweli wewe mzee wa BAKITA
Kila siku kazi kubandika picha za wenzako na kuanza kuwachora tu! Aidha una akili na tabia za kike au unasumbuliwa na utoto na usenge, au vyote nilivyotaja.

ni SAHIHI.
wewe umeangalia neno judge kwa upande mmoja wa LAW
angalia tafsiri nyingine za judge
verb judge,judging,judged:to form an opinion or estimation of sth after careful consideration.
noun:a judge is who:
1.one who makes estimates as to worth,quality etc
2.(Law)public official who hears and decides cases brought before court of laws
3.one appointed to decide the winners of contest or competetion...........hapa ndio wanaingia hao majaji wa u-miss