Majaji wastaafu big up!

Majaji wastaafu big up!

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
Inatiamoyo Majaji wastaafu kutoa tamko lao kuhusu Muswada wa katiba na kutaja upungufu unoonekana wazi wazi. Jambo hili ni lakuunga mkono pamoja na wengine wengi walioko mstari wa mbele kuhakikisha kwamba tunapata katiba mpya ITAKAYOFAA kwa watanzania
 
Wametoa tamko gani maana huku kwetu umeme shida toka chombo kiungue juzi hatujarudishiwa
 
Back
Top Bottom