Unanifurahisha kweli.Kikwete anakosa sababu?Alijua ankuwa criticised for that ndio maana akaanza kujitetea.Kevo,
Kama ulimsikiliza JK akijibu swali la pressman, alisema,KINACHOPELEKEA PROMOTION SIYO GENDER WALA WHO KNOWS WHO!!! Ila ni elimu na uwezo wa mtu kwenye utendaji.
Sasa angalia usije ukashauri mzee wa baraza ateuliwe kuwa Jaji.
Unanifurahisha kweli.Kikwete anakosa sababu?Alijua ankuwa criticised for that ndio maana akaanza kujitetea.
Ndiye alieaminiwa na majority ya Watanzania kuingia kwenye mjengo ule kule pembeni ya bahari. Sitaki kuelewa kama ali ingia kihalali ua kifisadi lakini ndiye Mkuu wa kaya. Hivyo asemalo baba ni sahihi, hakosei. Naogopa kumuita mkuu ni muongo kwa vile nimefundishwa kuwatii walilonizidi umri.