Gazillionaire
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 235
- 59
Wakuu, nauza majaketi na makoti mazito kwa ajili ya kutumika sehemu zenye baridi kali kwa bei ya kuanzia sh. 20,000/= hadi elfu 70 kwa wale wanaotaraji kwenda sehemu za baridi ama wale waishio sehemu za baridi. Ni ya mtumba lakini ya quality ya juu na ni kama mapya. Yapo ya Ngozi(Leather), Manyoya na ya kitambaa na ni ya Kisasa. Pia nina blouse za ngozi na suruali za jeans nzuri. Tafadhali kwa anaehitaji ani PM.