Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Bashiru ana ujumbe wako.Acha kulia lia wewe,Lissu na.michango ameanza kuchangisha,ulitaka.amnadi mbowe?
Ndio kusema umeanza kuchanganyikiwa wakati hata kura hazijapigwa. Rais aliyepo madarakani anatekeleza ilani ya chama chake alafu unasema amewahonga wananchi wa Luangwa? We ulitaka usikie kwa kutumia nini? Miguu?Nimemsikia kwa masikio yangu mimi mwenyewe Ndugu Kasimu Majaliwa akimnadi Dr Magufuli kabla ya kupokea simu yake , ambapo ili achaguliwe Mh Magufuli " amewahonga " wananchi wa Lwangwa ujenzi wa barabara hadharani .
Hii si sawa , ikiwa kama kampeni zimeruhusiwa basi ni vema vyama vyote vikapewa uwanja sawa , vinginevyo Mh Waziri Mkuu anapaswa kuomba radhi .
Lawlessness in Tanzania, Omnipotent President, PMNimemsikia kwa masikio yangu mimi mwenyewe Ndugu Kasimu Majaliwa akimnadi Dr Magufuli kabla ya kupokea simu yake , ambapo ili achaguliwe Mh Magufuli " amewahonga " wananchi wa Lwangwa ujenzi wa barabara hadharani .
Hii si sawa , ikiwa kama kampeni zimeruhusiwa basi ni vema vyama vyote vikapewa uwanja sawa , vinginevyo Mh Waziri Mkuu anapaswa kuomba radhi .
Aibu kubwa sana !Haahaa hata ningekuwa Mimi majaliwa ningesema hivo, huwezi kuukata mkono ukulishao, yaani pamoja na mashangazi zake kutishiwa kupigwa bado haambiliki.dah madaraka matamu
yeye mwenyewe anaabudu mtu na ndio maana amechapisha fomu 1 ya urais na inasemekana kishapewa majina ya mfukoni ya wabungeBashiru ana ujumbe wako.View attachment 1490669