Kabudi kasema "mheshimiwa Mungu" badala ya mheshimiwa Rais!Majaliwa akipewa kazi anaibeba na lawama zake anazibeba
Haina maana yoyote zaidi ya kutaka kuonekana superior!Hii tabia ya Magufuli βkuwasutaβ wenzie hadharani sijui anadhani inamsaidia nini.
Nimekuelewa Vema, Usione Watu Wana Vyeo Huwa Wanapambana Mno Kuvipata.Rais Magufuli katoboa Siri kuwa siku alipoapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili na ya mwisho, Kssim Majaliwa alimtumia sms iliyosema " Mheshimiwa Rais Hongera Sana umeapa vizuri ππππππ
Hakika uongozi unatafutwa kwa guvu zote kiasi kwamba unaweza kujikuta unaongea pumba
Maisha bila kujipendekeza kidogo,hutoboiNimekuelewa Vema, Usione Watu Wana Vyeo Huwa Wanapambana Mno Kuvipata.
Naweza Kukuuliza Utashangaa Mengine
Mtu Anakwambia Kamuona Fulani Kamteua Ujue Hiyo Ni Connection ππππ πππππ
Aina Za Nidhamu:-Kabudi kasema "mheshimiwa Mungu" badala ya mheshimiwa Rais!
Akajishtukia akabadili!
Nidhamu ikipitiliza unakuwa uoga na si nidhamu tena!
Huyu ndiye mungu wa Tanzania. Hakuna namnaHii tabia ya Magufuli βkuwasutaβ wenzie hadharani sijui anadhani inamsaidia nini.
Daah! Hakika tuko kwenye mkwamo kama nchi.Kabudi kasema "mheshimiwa Mungu" badala ya mheshimiwa Rais!
Akajishtukia akabadili!
Nidhamu ikipitiliza unakuwa uoga na si nidhamu tena!
KabisaMaisha bila kujipendekeza kidogo,hutoboi
Mshikaji Ni vuvuzelaRais Magufuli katoboa Siri kuwa siku alipoapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili na ya mwisho, Kssim Majaliwa alimtumia sms iliyosema " Mheshimiwa Rais Hongera Sana umeapa vizuri ππππππ
Hakika uongozi unatafutwa kwa guvu zote kiasi kwamba unaweza kujikuta unaongea pumba
Siyo rahisi kwa mtu aliyeshika nafasi ya uwaziri mkuu kuwa rais nchi hii. Wamejaribu wengi wameshindwa. Nadhani ni kwasabb wanachafuliwa na lawama na mabaya yote ya kazi ya uwaziri mkuuMajaliwa kapoa sana akiwa raisi.