ππππππππ ππππππππ πππ
Viongozi Wanapambana Kupata Hii Top Layer (Chuzi Lenye Mafuta)
πππ,aliteleza tu nadhani kwasababu ya nidhamu na kunyenyekea kulikopitiliza!mkubwa una uhakika kabudi na mimacho yote ile anashindwa kuona tofauti kati ya Mungu na Maguufull
Usipokuwa mkweli utaishi kwenye dunia ya kusadikikaHii tabia ya Magufuli βkuwasutaβ wenzie hadharani sijui anadhani inamsaidia nini.
Hahaha top layerKabisa
Huku Mtaani Wanasema Bila Fitna Hutoboi
Halafu Ukiwa Unakula Top Layer (Chuzi Lenye Mafuta)
Huwezi Kuwakumbuka Masakala
Majaliwa akipewa kazi anaibeba na lawama zake anazibeba
Mambo madogo madogo ndio yapiπππNa amehangaika sana na kampeni akiwa na mama Samia. Lazima apewe shukrani ingawa ndio hiyo ya kuchangamshwa kidogo. Majaliwa ana akili zake...aangalie yaliyo mbele yake aachane na haya mambo madogo madogo
Uwaziri mkuu ni laana,For my Views MAJALIWA atakuwa RAIS mtarajiwa next 5 yrs
Uongozi ni busara na hekima,Rais Magufuli katoboa Siri kuwa siku alipoapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili na ya mwisho, Kssim Majaliwa alimtumia sms iliyosema " Mheshimiwa Rais Hongera Sana umeapa vizuri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hakika uongozi unatafutwa kwa guvu zote kiasi kwamba unaweza kujikuta unaongea pumba
Sas huyu atakuwa RAIS wa Jamhuri.... RelaxUwaziri mkuu ni laana,
Unabeba lawama zote za serikali inayoondoka,
Na mwisho wa siku watu wanataka mabadiliko,
Ndio maana mbali na nyerere, mawaziri wakuu wote kumi waliofuatia hakuna hata mmoja aliyekisogelea kiti cha urais. Hata tatu bora huwa hawagusi!
Hii ya mwisho ndiyo inawafanya watu wapate vyeoAina Za Nidhamu:-
(1) Nidhamu Ya Dhati
(2) Nidhamu Ya Woga
(3) Nidhamu Ya Kujipendekeza
ππππ ππππ€£π ππ
Rais Magufuli katoboa Siri kuwa siku alipoapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili na ya mwisho, Kssim Majaliwa alimtumia sms iliyosema " Mheshimiwa Rais Hongera Sana umeapa vizuri ππππππ
Hakika uongozi unatafutwa kwa guvu zote kiasi kwamba unaweza kujikuta unaongea pumba
"Machismo" yake ni 0.Halafu anamwambia mbele ya mkewe, basi tu yani, mwanaume mwenzio anakudharau mbele ya mkeo.
Lakini nae alijitakia eti mh umepa vizuri
[emoji1787][emoji1787]
Hii hotuba ya Leo ya Magufuli imewafedhehesha sana wateule wake. Ilikosa busara za kiraisiHii tabia ya Magufuli βkuwasutaβ wenzie hadharani sijui anadhani inamsaidia nini.