Uchaguzi 2020 Majaliwa: Nafasi ya Urais inagusa maisha yako, sio jambo la mchezo

Hakika
 
Na ndiyo maana tunasema Tundu Antipass Lissu anatosha kabisa katika nafasi hii ya Urais... hakuna mtanzania hata mmoja anaweza kuhoji juu ya Elimu yake, Uzalendo wake mkuu wa nchi yake, Weredi wake, Anavyojali na kutetea wananchi wanyonge, Ujasiri wake, Uongozi wake refer ngazi zote ikiwemo hii ya Chief Whip katika Bunge alivyoitendea haki, nini kingine tena.

Lissu ni jibu la matatizo ya Watanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…