Uchaguzi 2020 Majaliwa: Tunataka Kiongozi atakayepambana na Rushwa

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na kiongozi anayeweza kuunda Serikali na mwenye uwezo wa kupambana na rushwa na mafisadi ambao wanasababisha nchi kukosa maendeleo.

Mheshimiwa Majaliwa amesema kiongozi huyo ni lazima awe na uwezo wa kuisimamia Serikali atakayoiunda pamoja na kuhakikisha wateule wake wanatekeleza majukumu yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuwafuata wananchi waioshio vijijini na kuwatumikia.

Ametoa kauli hiyo leo (Jumanne, Oktoba 6, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Kirongwe wilayani Mafia, Pwani katika mkutano wa kumuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Mafia,+ Omari Kipanga na wagombea wa udiwani wa CCM.

Amesema hiki ni kipindi muafaka kwa wananchi kuhakikisha ifikapo Oktoba 28 mwaka huu wanajitokeza kwa wingi kwenda kuwachagua viongozi watakaowaletea maendeleo na wasichague viongozi kwa ushabiki ili wasije kujilaumu mwishoni.

Mheshimiwa Majaliwa amesema kiongozi anayetakiwa katika nchi hii ni yule ambaye kwa dhamira yake anamtanguliza Mwenyezi Mungu mbele jambo ambalo litamjengea heshima katika jamii. “Lazima tupate kiongozi mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu.”

“Suala la kuimarisha amani na utulivu ni muhimu sana kwetu, tukipata kiongozi mwenye kuanzisha mtafaruku kwa kauli zake, lugha zake na matendo yake wanaoumia ni akina mama na watoto. Tuchague chama chenye uwezo na muelekeo wa kuimarisha amani”

Amesema Serikali ya CCM imejipanga vizuri kuwatumikia na katika kipindi cha miaka mitano iliyopita imefanya mambo mengi na aliyewafikisha hapo ni Dkt. John Magufuli ambaye leo namuombea ridhaa ya miaka mitano mingine ili akamilishe kazi aliyoianza.

Akizungumzia suala la usafiri katika kisiwa cha Mafia, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali yao imejipanga kuhakikisha inaboresha huduma hiyo na sasa inaendelea na ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia-Nyamisati.

Amesema ujenzi wa kivuko hicho ni utekelezaji wa Ilani ya CCM Ibara ya 57 (J)) na kinajengwa kwa gharama ya sh. bilioni 5.3. Hadi sasa ujenzi umefikia asilimia 95 na tayari kiasi cha sh. bilioni 4.1 kimetumika. Kivuko kinatarajiwa kuanza kutoa huduma ifikapo Novemba, 2020.

Mheshimiwa Majaliwa amewahakikishia wakazi wa Mafia uwepo wa usafiri kwa muda wote na tayari Serikali imepeleka kivuko kingine kwa ajili ya kuendelea kutoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati baada ya kivuko cha awali kuwa kwenye matengenezo.

Pia Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 14 kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya Nyamisati pamoja ujenzi wa gati katika badari ya Mafia ili kuboresha huduma ya usafiri wa kutoka na kuingia Mafia ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM Ibara 58(c).

Wakati huo huo, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujenga barabara za lami nchini zikiwemo na za wilaya ya Mafia na ilianza kwa kujenga barabara zinazounganisha mikoa na sasa inajenga barabara zinazounganisha wilaya.

Amesema kuwa barabara ya kutoka Kilindoni – RAS Mkumba – Mafia yenye urefu wa kilomita 55 inajengwa lengo likiwa ni kurahisisha shughuli za kiuchumi katika maeneo hayo. Mheshimiwa Majaliwa amesema tayari upembuzi yakinifu umeshakamilika

Pia, Mheshimiwa Majaliwa amesema Ilani ya CCM imeelekeza ununuzi wa vivuko viwili vitakavyotoa huduma kati ya Nyamisati na Mafia, hivyo baada ya kukamilika kwa kivuko cha sasa katika kipindi cha miaka mitano kitajengwa kivuko kingine ili kuondoa changamoto ya usafiri katika maeneo hayo.

Akizungumzia kuhusu masuala ya uvuvi, Mheshimiwa Majaliwa amesema katika kuimarisha ulinzi kwa wavuvi Serikali itanunua boti saba zitakazotumika ili kuimarisha doria ambapo wilaya ya Mafia itapewa boti pamoja na kuongezewa askari wa doria.
 
[emoji1782]
5430210.jpg
 
Si hivyo tu bali kiongozi ambae atajali watanzania kwa nafasi zao kila mmoja na kuwa tayari kujitoa muhanga kwa ajili yao na itoshe kusema kwamba Magufuli anastahili kwani ana sifa zote.
 
Kiongozi mwenye hofu ya Mungu angekua wa kwanza kuwakamata watu wasio julikana,angekua wa kwanza kukemea rushwa ndani ya chama chake na hasa wakati wa uchaguzi,angekua ni mtu anayetaka usawa wa wananchi wake katika maendeleo bila kujali itikadi za vyama.

Angekua mtu anaye weka wazi hesabu za manunuzi ya ndege ili zikaguliwe na CAG lakini sasa hivi hesabu za ndege zimewekwa sehemu ambayo CAG haruhusiwi kugusa.

Wananchi chagueni mtu ambaye anapenda haki,asiyependa kuonewa au kuona mtu yeyote akionewa ndani ya nchi yake, ![/QUOTE]
 
Huyu mzee kila nikimwona kwenye TV au picha anaonekana mtanashati haswa usoni na kwenye nywele tofauti na umri wake. Atakuwa anatumia muda sana mbele ya kioo kila asubuhi. Wadau mnasemaje?
 
Tunateremsha sifa ya jukwaa letu, yaani imekuwa kuzungumzia utanashati na sio jukwa la siasa?
 
Siasa ni kila kitu hata face scrub na kupaka rangi nyeusi kwenye nywele kuficha mvi kila siku ni siasa. Huyu mzee anajipenda sana
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na kiongozi anayeweza kuunda Serikali na mwenye uwezo wa kupambana na rushwa na mafisadi ambao wanasababisha nchi kukosa maendeleo.

Mheshimiwa Majaliwa amesema kiongozi huyo ni lazima awe na uwezo wa kuisimamia Serikali atakayoiunda pamoja na kuhakikisha wateule wake wanatekeleza majukumu yao ipasavyo ikiwa ni pamoja na kuwafuata wananchi waioshio vijijini na kuwatumikia.

Ametoa kauli hiyo leo (Jumanne, Oktoba 6, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Kirongwe wilayani Mafia, Pwani katika mkutano wa kumuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Mafia,+ Omari Kipanga na wagombea wa udiwani wa CCM.

Amesema hiki ni kipindi muafaka kwa wananchi kuhakikisha ifikapo Oktoba 28 mwaka huu wanajitokeza kwa wingi kwenda kuwachagua viongozi watakaowaletea maendeleo na wasichague viongozi kwa ushabiki ili wasije kujilaumu mwishoni.

Mheshimiwa Majaliwa amesema kiongozi anayetakiwa katika nchi hii ni yule ambaye kwa dhamira yake anamtanguliza Mwenyezi Mungu mbele jambo ambalo litamjengea heshima katika jamii. “Lazima tupate kiongozi mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu.”

“Suala la kuimarisha amani na utulivu ni muhimu sana kwetu, tukipata kiongozi mwenye kuanzisha mtafaruku kwa kauli zake, lugha zake na matendo yake wanaoumia ni akina mama na watoto. Tuchague chama chenye uwezo na muelekeo wa kuimarisha amani”

Amesema Serikali ya CCM imejipanga vizuri kuwatumikia na katika kipindi cha miaka mitano iliyopita imefanya mambo mengi na aliyewafikisha hapo ni Dkt. John Magufuli ambaye leo namuombea ridhaa ya miaka mitano mingine ili akamilishe kazi aliyoianza.

Akizungumzia suala la usafiri katika kisiwa cha Mafia, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali yao imejipanga kuhakikisha inaboresha huduma hiyo na sasa inaendelea na ujenzi wa kivuko kipya cha Mafia-Nyamisati.

Amesema ujenzi wa kivuko hicho ni utekelezaji wa Ilani ya CCM Ibara ya 57 (J)) na kinajengwa kwa gharama ya sh. bilioni 5.3. Hadi sasa ujenzi umefikia asilimia 95 na tayari kiasi cha sh. bilioni 4.1 kimetumika. Kivuko kinatarajiwa kuanza kutoa huduma ifikapo Novemba, 2020.

Mheshimiwa Majaliwa amewahakikishia wakazi wa Mafia uwepo wa usafiri kwa muda wote na tayari Serikali imepeleka kivuko kingine kwa ajili ya kuendelea kutoa huduma kati ya Mafia na Nyamisati baada ya kivuko cha awali kuwa kwenye matengenezo.

Pia Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 14 kwa ajili ya ujenzi wa bandari ya Nyamisati pamoja ujenzi wa gati katika badari ya Mafia ili kuboresha huduma ya usafiri wa kutoka na kuingia Mafia ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM Ibara 58(c).

Wakati huo huo, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali itaendelea kujenga barabara za lami nchini zikiwemo na za wilaya ya Mafia na ilianza kwa kujenga barabara zinazounganisha mikoa na sasa inajenga barabara zinazounganisha wilaya.

Amesema kuwa barabara ya kutoka Kilindoni – RAS Mkumba – Mafia yenye urefu wa kilomita 55 inajengwa lengo likiwa ni kurahisisha shughuli za kiuchumi katika maeneo hayo. Mheshimiwa Majaliwa amesema tayari upembuzi yakinifu umeshakamilika

Pia, Mheshimiwa Majaliwa amesema Ilani ya CCM imeelekeza ununuzi wa vivuko viwili vitakavyotoa huduma kati ya Nyamisati na Mafia, hivyo baada ya kukamilika kwa kivuko cha sasa katika kipindi cha miaka mitano kitajengwa kivuko kingine ili kuondoa changamoto ya usafiri katika maeneo hayo.

Akizungumzia kuhusu masuala ya uvuvi, Mheshimiwa Majaliwa amesema katika kuimarisha ulinzi kwa wavuvi Serikali itanunua boti saba zitakazotumika ili kuimarisha doria ambapo wilaya ya Mafia itapewa boti pamoja na kuongezewa askari wa doria.
Hahahaaahah fisadi apambane na rushwa
 
Majaliwa anazungumzia serikali ipi? Mjinga mwingine huyu. Kwanza anafanya kampeni ya urais kama nani? Hovyooo.
 
Viongozi wanaotokana na Rushwa na dhulma kamwe hawatapambana na Rushwa .

Enzi za Mwinyi alopoingia madarakani alikuja na kaulimbiu ya Dagio la Chuma . Aliwazoa mawaziri kwa makumi na watendaji wengi walifagiliwa.
Mwinyi alipambana vilivyo na rushwa lakini alizungukwa na wanaCCM waliomsifu na kumtukuza huku wakimwonyesha kuwa wabaya wake wapo nje ya kundi lake.
Kumbe wabaya wake ni wanaCCM na ndio walioamua kuiba kila kitu na leo hii wapo na wanafanya yale yale kwa mbinu nyingine ya kuwashambulia wapinzani na kuwasifu watu wasiojulikana.

Hivi Magufuli akishinda kwa 53% hataweza kujenga Daraja?
Hivi ushindi wa 95% kwa dhulma na wizi na kuwaua watu na kuwajeruhi na kuwafunga watu jela kwa kesi za uongo utamsaidia nini Rais katika kupambana na mafisadi??
 
Wanataka kiongozi atakaye pambana na rushwa?, au atkaye pambana na Lissu???.
 
Back
Top Bottom