Uchaguzi 2020 Majaliwa: Tusimchague mtu kwakuwa amepanda jukwaani kwa mbwembwe, lazima tupate Kiongozi atakayeweza kutuunganisha Watanzania wote

Mbowe anajutia kumpa msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema
Tunasubiri Noah zetu na Milioni 50 Kila kijiji, HATUJASAHAU, Watu Milioni 30 Tunasubiri hizo ahadi. TUKUTANE OKTOBA 28
 
Msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert
MSALITI NI YULE SIKU ANAAPISHWA, ALIDAI KUILINDA KATIBA YETU, AMBAYO INAZUIA AINA YOYOTE YA UBAGUZI, LEO ANASEMA WATU WA CHAMA FULANI MSINILETEE, MARA MMEKOSA MANEDELEO KWA SABABU HAMKUNIPA CONNECTION. VIPI MKUU MBONA KAMPENI ZA MWAKA HUU MPO KWA MJINI TU?, MWENDE VIJIJINI KULE MKAWAELEZE WANANCHI NA WALIMU KUWA , MMENUNUA BOMBANDIA
 
Mimi nasema tusimchague mtu kwa vile anapiga push-up jukwaani
 
Kuna mambo ya kujifunza mara tu, utawala huu utaondoka maana sidhani kama walikuwa na uwezo wa kuongoza, mambo mengi wameshindwa kuwaunganisha wananchi kwa pamoja, zimebaki blahblah kila siku matamko ya ajabuajabu
 
Unfortunately 'umoja wetu' ume fail miserably since we gained independence...its time we explore new ways/stratergies kulisongesha taifa mbele... VOTE FOR LISSU...
 
Hiyo kauli ina gharama zake.
 
Tutamchagua Rais ambaye utawala dhalimu ulitaka kumnyang'anya uhai wake kwa kumfyatulia risasi zaidi ya 30. Huyo ndiye chaguo letu.


YESU NI MWOKOZI.
 
Nimesoma kichwa cha habari, kwamba Kassim Majaliwa kasema waTanzania "tuchague mtu anayeweza kutuunganisha".

Nakubaliana naye sana, kwa sababu miaka mitano hii iliyopita taifa letu lemepitia katika hali ngumu sana. Miaka mitano mingine ya namna hiyo itakuwa ni janga kubwa kwa umoja wa taifa letu.
 
Siku zote mbaguzi huwagawa watu,hivyo mbaguzi hawezi kuwaunganisha watu.Tumkatae mbaguzi was itikadi,ukabila,mbaguzi wamaendele,mbaguzi wa haki na tumkatae mbaguzi Uhuru na pia tumkatae asiyeweza kusimamia kiapo Cha kuilinda Katina yetu ,kwa kuwa kigeugeu.
 
Magufuli ni boga lisilo na matetele
 
Kwa hiyo anatuambia tusimchague tena Magugu maji?
 
Majaliwa ni mwalimu wa UPE,ameweka historia ya kua pm utopolo
 
Mbwembwe ni zile push ups
 
kumbe majaliwa kapita bila kupingwa ili awe mgombea mwenza wa uraisi kwny hiz kampen😂😂😂😂
 
Ni kweli na kiongozi huyo ni Liss3kwa Magufuli snatenganisha na kubagus watanzania kwa rangi zao, ukabila na ubaguzi wa vyama. Pia ubaguzi wa wapi maendeleo yapelekwe hata kama wananchi wa eneo hilo wanalipa kodi.

Ni kipindi cha kuchagua Tano Kwanza kwa Uhuru, Haki na maendeleo ya Watu na sio vitu ambayo anafanya huyu wa Tano Tena.
 
Tangu lini huyo anayejiita MWENDAWAZIMU ametuunganisha Watanzania? Kwa kufanya yepi ya kutuunganisha. Aache ujuha wake huyu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…