Majambazi Kuua watu 14 Mwanza; Waziri Masha jiuzuru!

Kaka hapa umelonga. Ila naomba ufanye 'editing', anatakiwa ajiuzulu siyo ajiuzuru. Huyu jamaa ni mwanasheria, unapaswa usikosee herufi kabisa unapotaka kumsulubu kama anavyostahili.

Hafu huyo jamaa si ameingia kiushkaji... kampuni yake inampa mtoto wa JK uzoefu na ubobevu kwenye sheria, na yeye in return kapewa shavu dodo au vipi... HAYA MANYANG'AU HAYANA UCHUNGU NA WANANCHI HATA KIDOGO. ALIWEZA MZEE MWINYI TU.

KAZI YAO KULA TU HALAFU MATUMBO YAO HAYASHIBI. VITAMBI TU... PUFFFF!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…