christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Kwani yeye kaondoka na mfumo upi?Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.
Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.
Majambazi yalikuwepo hata kipindi Cha Maghu,tofauti ni kwamba kipindi Cha Maghu,majambazi yalijificha Ikulu,yalipora kwa udhamini wa serikali,TRA,Rejea matukio ya kuvsmiwa maduka ya kubadirisha fedha Arusha
Sijajua ni wapi huko Ujamabazi ulimalizwa na Magufuli.Jengeni mfumo nyie sasa, yeye aliweza tatua tatizo tukalisahau, hayo ya mfumo ni ya kwenu na porojo kibao, kazi sifuri.
Hivi hizi maneno za mfumo aka system ni zipi bandugu munieleweshe. Yaan twende Kwa mifano. Kua kuteketeza ujambazi mfumo gani uwepo. Maana naona watu tuko general Sana.
Hapa kuna kaukweli lkn.Mawaziri, Wakuu wa mikoa na wilaya wasiwe na mamlaka ya kutoa amri na kuwaelekeza polisi cha kufanya kwa sababu wengi wao hawana ujuzi wowote wa mambo ya usalama wa raia.
Hiyo pia italipunguzia jeshi la polisi kupoteza muda katika kazi za siasa na kuutumia huo muda kuimarisha ulinzi ambayo ndio kazi yao kuui
Halafu RPC, Mwanajeshi, Askari wa Magereza, Afisa Usalama ndio wanapaswa kuwa wenyekiti wa kamati za ulinzi na usalama za mkoa vivyo hivyo kwenye wilaya.
Hatuja kuelewa ongeza sauti.Eti niniMatukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.
Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
Kwa hiyo unashauri marehemu arudi kutokomeza ujambazi? Nini mantiki ya hii post?Matukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.
Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
Chief kifo ni mpango wa Mungu.... sisi wanadamu tufanyeje kama Mwenyezi Mungu ameamua lake....?mtamkumbuka sana JPM
Matukio ambayo tulishayasahau kitambo sasa yameamza kuibuka upya tena kivingine, kwani zamani majambazi walikuwa hata wanauliza au hata kutishia silaha au kupiga hewani risasi, lakini safari hii wananyonga yaani wamechoka, na kupiga risasi hewani wanaona kama hasara ni mwilini tu.
Kwa mujibu wa taarifa kupitia vyombo vya habari tayari majambazi wamenyonga mlinzi wa benki. Na mpaka sasa tayari kumeanza kuripotiwa matukio mbali mbali ya ujambazi na kupoteza maisha ya watu hata arobaini bado haijaisha.
Aliyekuwa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. Magufuli yeye aliwai kuwaita wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama na kuwaambia kuwa ni bora niendelee kusikia majambazi wameiba au wameua lakini sitaki kusikia jambazi kafikishwa polisi au mahakamani naomba muwanyang'anye silaha, mwisho wa kunukuu. (na hapo hata mimi sichangii zaidi).
mtamkumbuka sana JPM
Tatizo wabongo mnakaririshwa tu neno mfumo na wanasiasa mmnadhani ni Kama kitu kipya na complex sana, mifumo (system) ipo tayari. Mfumo wa kudeal na uhalifu upo unaanzia kwa jeshi la polisi wanahakikisha ulinzi, kukamata wahalifu na kuwafikisha mahakamani, polisi pia wanawajibu wa kufanya upelelezi na kuwasilisha ushahidi wa watuhuhumiwa mahakamani. Mahakama ina wajibu wa kusikiliza kesi na kutoa haki kwa mujibu wa sheria.Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.
Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.
Cha kufanya na cha kuanzia,ni katiba, IGP asichaguliwe na mtu mmoja nafasi ya IGP itangazwe na watanzania wajitokeze kuiomba.na IGP sio lazima awe ni Polisi.
Ndio ujue kwamba Magufuli alikuwa ni rais wa hovyo, aliendesha nchi ktk namna ya watu kumuogopa yeye pasipo kujenga mifumo imara.
Angejenga mifumo imara suala la majambazi kutoweka lingekuwa la jumla jumla.
Utamkumbuka wewe na mumeo,yeye kibaka kama vibaka wenginemtamkumbuka sana JPM
You are very right, many who talks about system seem not to know how one can build a system.Hivi hizi maneno za mfumo aka system ni zipi bandugu munieleweshe. Yaan twende Kwa mifano. Kua kuteketeza ujambazi mfumo gani uwepo. Maana naona watu tuko general Sana.