Majambazi yaliyovamia benki huko Kisumu yamedhibitiwa?

Majambazi yaliyovamia benki huko Kisumu yamedhibitiwa?

Kenya hakuna askari. Vibaka wanne wamewaendesha polisi wa Kenya kutwa nzima. Hapa kwetu Tanzania ni jeshi la sungusungu tu lingetosha kuwadhibiti ndani ya dakika 45 tu.

Poleni wakenya.
Kamuulize hamza atakusimulia
 
Back
Top Bottom