KAUDO Senior Member Joined Aug 10, 2011 Posts 138 Reaction score 67 Mar 24, 2012 #1 aliyeuwawa ni PC Dickson namba G2626 ambaye pamoja na wenzake wanne walikuwa wakilinda mgodi wa dhahabu wa Tulawaka wilayani Biharamulo. Chanzo RPC-Kagera-habari zaidi baadaye
aliyeuwawa ni PC Dickson namba G2626 ambaye pamoja na wenzake wanne walikuwa wakilinda mgodi wa dhahabu wa Tulawaka wilayani Biharamulo. Chanzo RPC-Kagera-habari zaidi baadaye
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,508 Reaction score 11,897 Mar 24, 2012 #2 hiyo ni mojawapo ya ajira kwa vijana kAbaka na nape wanaotetea hakuna bomu la ajira!
mmbangifingi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 2,839 Reaction score 566 Mar 24, 2012 #3 Rip constable!