Majambazi yaua usiku huu!

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Nimesikia habari za majambazi kuu mtu na kupora duka la madawa la Fedex. Kwa anayejua details la eneo hilo la duka yalikofanyika mauaji anijuze tafadhali, nna ndugu yangy afanyia kazi hayo maduka, presha yanishuka mie tafadhali. najaribu mpigia simu haipokelewi, anayejua anijuze duka gani kwa pao dar yalikofanyika mauaji, plz!
 
ata mimi nimesikia mawingu fm..mwenye info zaidi atujuze,kwani police walikua bado hawajaenda na mtu mmoja kashakufa.
 

Hapo kwenye red: siku nyingine usifanye hivyo, inawezekana ndugu yako kajificha mahali kwenye hilo duka sasa unapoanza kupiga simu ndio unamuanika kwa majambazi. Speaking from experience. Kwa sasa tafuta habari toka vyanzo vingine siyo huyo ndugu yako ambaye yuko kwenye dhahama.
 
ndg yangu hata siku usije ukaomba ushauli kwa DEODAT hajawahi kupata matatizo yoyote hapa duniani
 
Fedex au Medex?? Sababu Fedex ni kampuni ya kimataifa ya usafirishaji vifurushi!! na Medex ni kampuni inayojihusisha na Madawa na Bima za Afya
 
Fedex au Medex?? Sababu Fedex ni kampuni ya kimataifa ya usafirishaji vifurushi!! na Medex ni kampuni inayojihusisha na Madawa na Bima za Afya

Nilikuwa napata kigugumizi cha usomaji hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…