3squere JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 925 Reaction score 181 Apr 28, 2012 #1 Chuo cha ucc jana walivamiwa na majmbazi na kuchukuliwa komputer 14 ,screen na server ya camera nipewa taarifa kwamba waliwakamata walinzi nakuwafunga kamba wakaingingiza vibajaji na kuchota computa kama wananawa vle pole sana UCC
Chuo cha ucc jana walivamiwa na majmbazi na kuchukuliwa komputer 14 ,screen na server ya camera nipewa taarifa kwamba waliwakamata walinzi nakuwafunga kamba wakaingingiza vibajaji na kuchota computa kama wananawa vle pole sana UCC
Bata batani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 3,217 Reaction score 3,694 Apr 28, 2012 #2 duuu nomaaa