Mmmmh, sijui ni nina alifanya usafi wa hiyo makitu hapo kwa bed.
:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:manake mmmmmmh
Inafurahisha, nimeisoma jana na leo nimeirudia. Mbaya zaidi imenikumbusha jamaa fulani toka MZA wakati niko chuo alilala mchana chali na joto kali la DSM hakujifunika kitu alibaki na nguo ya ndani tu, kutokana na kukaa muda mrefu bila kukutana na mamaaaaa alichokuwa anaota anajua mwenyewe lakini niliona rungu linachungulia mara..majambos yanamwagika kama gari la polisi la maji ya kuwasha........!!!!!! (ambaye hajanielewa hajakua..)
Ahahahahahahaaah!!Inafurahisha, nimeisoma jana na leo nimeirudia. Mbaya zaidi imenikumbusha jamaa fulani toka MZA wakati niko chuo alilala mchana chali na joto kali la DSM hakujifunika kitu alibaki na nguo ya ndani tu, kutokana na kukaa muda mrefu bila kukutana na mamaaaaa alichokuwa anaota anajua mwenyewe lakini niliona rungu linachungulia mara..majambos yanamwagika kama gari la polisi la maji ya kuwasha........!!!!!! (ambaye hajanielewa hajakua..)
Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani.
"Toka hapa nani wewe unakuja kitandani kwangu?"
"mimi ni mtakatifu Petro na hapa si kitandani kwako bali ni mbinguni"
"Ina maana nimekufa? Mbona mimi bado kijana? Naomba unirudishe duniani."
"Inawezekana, lakini siwezi kukurudisha kama mtu, labda nikurudishe kama mbwa au kuku"
Harry akakumbuka mbwa anavyopata taabu ya kulinda, " Bora nirudi kama kuku"
Mara akajikuta yuko kwenye banda, akiwa kuku jike na matakoni kunawaka moto. Akamwona jogoo pembeni, akamwambia shida yake.
"Kaka ninasikia moto matakoni, inakuwaje?"
"Kwani hujawahi kutaga weye?" Jogoo akamjibu kwa maringo.
"Sijawahi"
"Chuchumaa, kamua kwa nguvu yai litoke."
Basi akakamua, yai la kwanza likatoka, akakamua tena yai la pili hilo! Akiwa anataka kukamua yai la tatu akasikia sauti ya mke wake.
"Harry, pumbavu wewe, unakunya kitandani!"
afadhali jogoo hakumpanda
:clap2:Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama kitandani.