Majanga:form two karatu wazuiwa kufanya mtihani kisa hawajalipa maharage na mahindi

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Ni jambo la kusikitisha watoto wa form two ambao wameanza mtiani wa Taifa siku ya leo kitaifa,huko karatu shule ya sekondari wel wel mambo ni tofauti kabisa baada ya robo ya darasa kufukuzwa nyumbani kisa wanadaiwa mahindi na maharage.,haikuishia hapo pia na watoto wa kidato cha nne leo wanafanya mtiani wa BRN nao nusu ya darasa wamefukuzwa,je hii ni haki? Na sheria zinafuatwa?
MAMLAKA HUSIKA ZICHUKUE HATUA.
 
khaaaaaaaaaah ...mkuu r u sure with what u r saying?
 
Ni jambo la kusikitisha watoto wa form two ambao wameanza mtiani wa Taifa siku ya leo kitaifa,huko karatu shule ya sekondari wel wel mambo ni tofauti kabisa baada ya robo ya darasa kufukuzwa nyumbani kisa wanadaiwa mahindi na maharage.,haikuishia hapo pia na watoto wa kidato cha nne leo wanafanya mtiani wa BRN nao nusu ya darasa wamefukuzwa,je hii ni haki? Na sheria zinafuatwa?
MAMLAKA HUSIKA ZICHUKUE HATUA.

KUSOMA BILA KULIPA PESA WEWE UNAONA KWAO NI HAKI? HV HUJUI CHAKULA SHULENI WAZAZI WANATAKIWA WALIPIE? SASA ULITEGEMEA MKUU WASHULE ATOE PESa zake mfukoni ili awalipie? ------- mkubwa wee.wazazi wakamatwe kwa kushindwa kuwajibika kwao kwa watoto wao.pia nyege zenu za kupenda kuzaa bila mpangiliio mwisho wke unshindw kusomesh
 
Back
Top Bottom