Majanga mapya ya Wema: Range inapigwa na TRA

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
yule mama wa ma drama na ma fake news yuko ndani ya skendo mpya baada ya lile Range rover alilojizawadia kwenye b day yake kukamatwa na tRA na liko yadi likipigwa mnada kwa sh milioni 200.
Kosa ni kwa gari hilo kuingizwa nchini bila kulipiwa ushuru:::

*****wadau mbalimbali wamem,uomba makamu wa Rais aingilie kati kumuokoa kampeni meneja wake aliyefanya kazi kubwa ya kumtukana lowassa mwaka jana kwenye kampeni.
Adioos..cheers************
index.jpg
WEMA37.jpg
gari.jpg
 
Naona serikali ya mwaka huu wapo kikazi zaidi, angekua ni yule jamaa aliyekuwa anapiga nao selfie sijui kama hili lingefanyika

251772.jpg
 
yule mama wa ma drama na ma fake news yuko ndani ya skendo mpya baada ya lile Range rover alilojizawadia kwenye b day yake kukamatwa na tRA na liko yadi likipigwa mnada kwa sh milioni 200.
Kosa ni kwa gari hilo kuingizwa nchini bila kulipiwa ushuru:::

*****wadau mbalimbali wamem,uomba makamu wa Rais aingilie kati kumuokoa kampeni meneja wake aliyefanya kazi kubwa ya kumtukana lowassa mwaka jana kwenye kampeni.
Adioos..cheers************
View attachment 334224 View attachment 334227 View attachment 334226
 
Lilisajiliwa vipi bila kulipwa kodi? Hayo ndiyo malipo ya kumtukana Lowassa wakati wa kampeni.
 
yule mama wa ma drama na ma fake news yuko ndani ya skendo mpya baada ya lile Range rover alilojizawadia kwenye b day yake kukamatwa na tRA na liko yadi likipigwa mnada kwa sh milioni 200.
Kosa ni kwa gari hilo kuingizwa nchini bila kulipiwa ushuru:::

*****wadau mbalimbali wamem,uomba makamu wa Rais aingilie kati kumuokoa kampeni meneja wake aliyefanya kazi kubwa ya kumtukana lowassa mwaka jana kwenye kampeni.
Adioos..cheers************
View attachment 334224 View attachment 334227 View attachment 334226

Hivi mnamuonaje makamu wa raisi?Kwani hata kama Wema alishiriki kwenye kampeni zake si alikuwa analipwa. Hizo fadhila za hivyo sio kwa uongozi huu bali uliopita. Atafute ufadhili hilo gari lilipiwe kodi tena kabla muda aliopewa haujamalizika.Akishindwa t.r.a. wanaweza kuliuza hata kwa ml.50 atakaenunua akalipia kodi. Asitegemee makamu wa raisi kumwondolea ushuru labda aombe apointment nae amchangie.
 
Yeye atafute hela alipe kodi achukue gari lake.Mambi ya kulipana fadhila hakuna tena.
 
Kwahiyo haka kajamaa hakiwezi kuitoa hiyo gari,ila kinaweza kupiga selifishi tu.
images
 
kwani hyo kodi ni kiasi gani?
maana nashangaa aweze kununua gari kwa ml. 200 apafu ashindwa kulipa kodi..!!!
sasa hapa naanza kuamini kuwa hyo gari alihongwa na siyo kama alivyosema kanunua yeye
 
Kwani Makamu in Meneja misamaha ya kodi? Mbona wapiga kampeni walikwishalipwa?
 
Back
Top Bottom