yule mama wa ma drama na ma fake news yuko ndani ya skendo mpya baada ya lile Range rover alilojizawadia kwenye b day yake kukamatwa na tRA na liko yadi likipigwa mnada kwa sh milioni 200.
Kosa ni kwa gari hilo kuingizwa nchini bila kulipiwa ushuru:::
*****wadau mbalimbali wamem,uomba makamu wa Rais aingilie kati kumuokoa kampeni meneja wake aliyefanya kazi kubwa ya kumtukana lowassa mwaka jana kwenye kampeni.
Adioos..cheers************
View attachment 334224 View attachment 334227 View attachment 334226

Alipe kwani yeye ni nani mkuu.?Kwahiyo haka kajamaa hakiwezi kuitoa hiyo gari,ila kinaweza kupiga selifishi tu.
Kwani si ni mai gerofurendi wake, na walishajipa hadi mimba feki ????Alipe kwani yeye ni nani mkuu.?
Kwahiyo haka kajamaa hakiwezi kuitoa hiyo gari,ila kinaweza kupiga selifishi tu.