Majanga mengi ya asili hayatokei mchana

Majanga mengi ya asili hayatokei mchana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ni kama Mungu aliweka iwe hivyo mafuriko mengi huwa yanatokea usiku ndo maana idadi ya wanaokufa inakuwa sio ya kutisha Kwa sababu watu wanakuwa wamelala wanaamshwa na majanga wanapata nafasi ya ku jiorganize fasta Kwa ushirikiano ila ingekuwa tuseme mchana aisee ndo Balaa maana watu wanadata muda ule kila mtu anakimbia kuelekea upande wake.. Unasema ukamuokoe mtu ndo unakwenda kusombwa wewe..
 
Back
Top Bottom