Majanga: Miley cyrus apost picha akiwa mtupu kwenye instagram, aweka taulo pembeni na kujianika wazi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304

Miley Cyrus ameamua kuwa mwehu kivyake na kuvunja maadili bila kuogopa lolote litakalosemwa juu yake kwa kupost picha akiwa mtupu kwenye Instagram.


Jana (April 11), mwimbaji huyo alipost picha akiwa amevaa taulo jeupe huku akitengenezwa nywele, taulo hilo likiwa ndilo vazi pekee lililomwilini mwake na kuandika “#TBT (2hours late but whatevzzzz).




Lakini baada ya muda kidogo alipost picha ya pili ambapo aliamua kushusha taulo chini na kufunika maziwa yake na mkono wake wa kushoto na kuandika :

“"which means it's technically #FBF #selfieoverload #iphonestorageatfullcapacity #goingthrudeletings--t #akastrollingdownmemorylane."

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…