Majanga na Trauma zilizotokea awamu ya tano ikiwa madarakani

Majanga na Trauma zilizotokea awamu ya tano ikiwa madarakani

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
  1. Janga la kisiasa (Hatukupata vipaji vipya vya kisiasa)
  2. Bunge kuzimika laivu
  3. Ajari ya treni kule Dodoma
  4. Tetemeko la Kagera
  5. Mauaji MKIRU (Ikwiriri na Kibiti) na mikoa ya kusini
  6. Ajari ya kivuko Ukara (ukerewe)
  7. Kundi la nzige huko kaskazini
  8. Mlima Kilimanjaro kuwaka moto
  9. Isabella kuleta Corona
  10. Vifo vya watu holela wakiwemo wafanyabiashara wakubwa na viongozi wakubwa (Isivyo kawaida)
Je, kuna la kujifunza hapa Au ni kawaida?
 
Hiyo namba 9 usingemtaja huyo mama ingekuwa poa zaidi, sidhani kama alipenda au kufurahia kilichompata, hakuna anayependa kuugua.
 
Kutoongeza watumishi mshahara
Kupora pesa za watu benki
Ukabila na ubinafsi
Binadamu kuitwa Mungu
 
Kutoongeza watumishi mshahara
Kupora pesa za watu benki
Ukabila na ubinafsi
Binadamu kuitwa Mungu
Benki zilifilisiwa na sijui kama pesa za watu walishawahi pewa waliokuwa na mzigo mle benk
 
Hiyo namba 9 usingemtaja huyo mama ingekuwa poa zaidi, sidhani kama alipenda au kufurahia kilichompata, hakuna anayependa kuugua.
Ushawahi kujiuliza kwanini selikali ilimtaja jina ( kwanini wasingesema ugonjwa umeingia bila kutaja jina?)
Ukiijua sababu basi usiache kutaja jina lake maana halikutajwa bahati mbaya
 
Dah jamaa kwenye L anaweka R. nikionaga hivi huwa hata kuendelea kusoma nashindwa. Huwa najiuliza kama ameshindwa kutofautisha hizo herufi, je atajua hata anachokiandika kweli, au anawza kuwa na point kwenye mada yake
 
dah jamaa kwenye L anaweka R. nikionaga hivi huwa hata kuendelea kusoma nashindwa. huwa najiuliza kama ameshindwa kutofautisha hizo herufi, je atajua hata anachokiandika kweli, au anawza kuwa na point kwenye mada yake
Nimeishia darasa la saba mkuu! Nisamehe, lakini wewe Msomi hapo umeandika Utumbo gani?
 
Aliunda taskforce kupora hela za watu
Alibinya uhuru wa habari
...
 
Mbowe achie ngazi umelalamikiwa na wengi,.
ipo siku hao nyumbu unaowalipa kukutetea watachoka.
 
dah jamaa kwenye L anaweka R. nikionaga hivi huwa hata kuendelea kusoma nashindwa. huwa najiuliza kama ameshindwa kutofautisha hizo herufi, je atajua hata anachokiandika kweli, au anawza kuwa na point kwenye mada yake
huna unachokijua alafu jeuri sasa
 
dah jamaa kwenye L anaweka R. nikionaga hivi huwa hata kuendelea kusoma nashindwa. huwa najiuliza kama ameshindwa kutofautisha hizo herufi, je atajua hata anachokiandika kweli, au anawza kuwa na point kwenye mada yake
darasa la saba hawezi shindwa kutofautisha hizo herufi kwenye sentensi usiwasingizie
 
Back
Top Bottom