Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Zaidi ya wanafunzi 500 wa udsm wamedisco ktk mwaka huu wa masomo huku wengine zaidi ya 9000 wakitakiwa kufanya mitihani ya supplementary.mpashaji wangu wa habari,amenidadavulia idadi ya waliodisco kwa kila college kama ifuatavyo
1}CASS-141
2}COET-137
3}CONAS-98
4}COICT-59
5}UDSL-42
6}UDBS-17
7}UDSE-9
 

Mbona kawaida sana tena hao wachache, Dr. Karamagi wa Economics huwa anatakamata hadi 700 yeye tu peke yake kwenye kozi yake ya Intermediate Microeconomics. Hapo bado Ngowi hajashika nusu ya Darasa kwenye course ya Probability Distributions watu wa Statistics
 
Hapa kuna moja kati ya haya..
1. Waliojiunga wengi ni vilaza...
2. Wakufunzi hawajui kutoa nyanga...
3. Mchanganyiko wa yote hapo juu..
4. Kuna kuchukuliana mademu kati ya wakufunzi na wanafunzi..
5. Background ya wanafunzi kishule si ya kujiunga na UDSM...
 
Kwani hakunaga option kwa aliye disco kurudi chuo au kusafisha makosa?
 
Si kwamba vilaza tatizo labda n anasa na mambo ya uzinzi pili labda hao malecture wanataka uloda alafu pipoz zinatema magirlz so si jambo lakufurahua n bira kuwashauri
 

Poleni sana ndugu ni janga la kila chuo na average hapo ni 40 je ingekua 50 kama sua ingejukaje?
 

ha ha ha, Dr karamagi noma aisee.kuna wengine wanaitwa Dr nyoni na prof Ossoro,wao mitiani yao hata udesekeje,ukipata 5/20 wewe kidume!
 
Kwani hakunaga option kwa aliye disco kurudi chuo au kusafisha makosa?

mkuu ukidisco ndo unaondoka chuo hvo,ila ukiwa una supp ndo unakua na option ya kupiga paper tena.
 
waliaga kwao wanaenda kuchukua degree utadhani waliiweka.pole kwa wote
 

Unaelewa tofauti ya kushikwa na kudisco?
Idadi hiyo ni kubwa sana kwa disco, poleni wahanga.
Tatizo sidhani kama ni wakufunzi, maana hawajaanza kazi leo.
Tatizo ni misingi mibovu ya elimu za vijana wetu wa sasa, pamoja na anasa
 

mkuu,kuna mtu namfahamu ameingia na dv 1.4 ila wamemla kichwa kule coet.utasema huyo nae background yake ilikua mbovu?
 
500 ni kidogo sana kwa idadi ya wanafunzi kwa miaka yote!walimu wamekua fair sana
 
mkuu,kuna mtu namfahamu ameingia na dv 1.4 ila wamemla kichwa kule coet.utasema huyo nae background yake ilikua mbovu?
Kuna watu wanapata hizo point ulizoziandika, lakini kumbuka si kwamba mtu wa hivyo anafiti kila mahali... Kipoint yes, lakini kitaaluma wengine huwa wanaingia chaka.... Unaweza ukawa una hizo point na ukaliwa kichwa vile vile, sababu ni kuchagua kozi isiyokufaa au usiyoiweza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…